CHADEMA kuna tatizo kama ni kweli

CHADEMA kuna tatizo kama ni kweli

Namjua vizuri sana huyu Mmawia si tu kwa hii nickname yake bali kwa jina lake halisi, anapoishi, shughuli yake na role yake ndani ya CHADEMA

Huyu ni TEAM FREEMAN MBOWE 100% na mpaka sasa hawaamini kuwa walishindwa kwenye uchaguzi wa 21/1/2025

Ni wazi kuwa harakati za kisheria kupitia mahakama kwa usaidizi wa serikali haramu chini ya Samia Suluhu Hassan na CCM yake kuifanya CHADEMA a toothless dog zimeshagonga mwamba. Sasa wanajaribu kuisambaratisha from outside kwenda inside...

Hii kizungu inaitwa Sabotage. Wanafikiri wanaweza kuu - sabotage uongozi wa Mwenyekiti Tundu Lissu na hivyo kukirudisha chama mikononi mwao ili waanze kupiga hela toka kwa watawala waovu...

Tundu Lissu, John Heche na John Mnyika wameshategeshewa mabilioni ya shilingi ili wasalitiane. Tundu Lissu awasaliti wenzake na John Mnyika na Heche wamsaliti Mwenyekiti wao, IMESHINDIKANA...!!

Kiongozi wa kizazi hiki kilichojaa tamaa na ulafi wa pesa kukataa pesa chafu za damu nyingi kiasi hicho ambazo angekula miaka na miaka na familia yake, ni kiongozi muhimu na anayestahili Kulindwa sana na ofcoz hawa tayari wako chini ya ulinzi dhabiti wa Mungu Yehova mwenyewe..!

Sawa Mmawia..

Na pole sana kwa fimbo hizi. Mwana mpotevu na aliyekengeuka lazima apate kibano kidogo ili kumrejesha katika mstari...

Na honestly, mnafanya mambo yenu kienyeji sana...

Mnafanya makusudi ku - sabotage mapambano dhidi ya dhuluma, uonevu na mauaji yanayofanywa na watawala dhalimu wasio na ridhaa ya wananchi kuongoza nchi na taifa hili...

Deep ndani kabisa toka ktk moyo wako, Heche huyu anayewindwa na watawala ktk kila hatua ili auwawe na ikishindikana la kumuua ingalau abambikiwe kesi mbaya isiyo na dhamana anaweza vipi kufanya kosa la kijinga hivi kujichafua ili nyie wahuni mpate sababu ya kumshitaki? Ona tu, juzi wamemuua dereva wake masikini. Lakini Ukweli, aliyekuwa anatafutwa ni yeye..!!

Mimi Mtumishi wa Yesu Kristo aliye hai, ninawashauri tafuteni njia nyingine halali za kujipatia pesa za kutunza familia zetu na mahitaji ya starehe zenu binafsi..

Kukubali kupokea pesa za damu kutoka kwa watawala hayawani wa serikali hii dhalimu na haramu walioua maelfu ya ndugu zetu ni kujichumia laana, mabalaa na mikosi isiyo na sababu kabisa bali kwa kujitakia kwa sbb ya tamaa zenu..
Imenibidi nikupe like kwanza ili utilize akili zako.

Kwa taarifa yako ni kwamba Mmawia atabakia kuwa yuleyule wa jana na leo.

Mimi Nilikuwa MH Mbowe team Hainan ubishi lkn baada yeye kustaafu Hilo halikunifanya niachane na siasa.

Hivyo bado nipo sana ndani ya CDM ili kutafuta au kusafishq njia ya KUELEKEA kwenye nchi ya asali na mtindi
 
I know bado uko ktk siasa...

Sasa ushauri wangu ni rahisi tu. Fanya siasa kwelikweli, Fanya siasa safi. Hiki mnachofanya sasa ni siasa uchwara na ziko very short-lived na zitakupa manufaa ya muda mfupi tu huku zikikuachia makovu ambayo ni incurable for the whole of your life...

Kama uko kwenye TEAM UZUSHI huu unaoendelea toka huko before it's too late ili kulinda heshima na utu wako ktk harakati zako za siasa safi...

Mwanasiasa makini, mwenye positive long-term plans, ambaye ni uncompromised anapokuwa hana la kusema ktk nyakati za political crisis kama hizi, hujinyamazia zake kimya au huchagua upande kwa uwazi na mchana kweupe na kutangaza hivyo na kila mtu anajua..

Hebu jaribu kufikiri juu ya wanasiasa hawa walio excel na kupanda kwenye political ladders kwa kasi lakini wakashindwa kusoma vyema alama za nyakati, wakafanya fatal mistakes ndogo tu ktk maamuzi yao, sasa wamepotea au kurudi nyuma hatua maelfu..

✓ Mch Peter Msigwa
✓ John Mrema
✓ Salumu Mwalimu
✓Benson Kigaila
✓Komu
✓Joseph Selasini na wengine kibao

Hawa walikosa uvumilivu. Wakachagua njia za mkato zisizo halali kuyafikia mafanikio yao kisiasa. Wakasahau kuwa siasa za Kiafrika zimejaa manipulation na hadaa nyingi. Masikini hawa wakadanganywa nakudanganyika...

Jifunzeni kwa kina Halima Mdee na January Makamba. Ni watulivu wakijua kuwa wakati wao wa kusema sio sasa bali utakuja na ukija tu na Kisha wakasema, ndio mwanzo wa ku excel kwenda juu zaidi...
 
Kumekuwa na shutuma nyingi sana juu ya uongozi wa juu wa chama.

Shutuma za ubadhilifu wa rasilimali fedha ndani ya chama.

Huu ni ushuhuda kutoka kwa mmoja wa viongozi wa chama mkoa wa Kilimanjaro.

Tujadili wana Jf

View attachment 3624857

---------------

Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Mwanga, Mkoani Kilimanjaro Lembrus Mchome ametoa tuhuma dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche, akidai kuwa amekuwa akikusanya fedha kutoka kwa wadau, wafanyabiashara na mashirika mbalimbali kwaajili ya shughuli za chama lakini fedha hizo hazijafikishwa kwenye mifuko rasmi ya chama.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mchome amedai kuwa suala hilo lilijadiliwa katika kikao cha Kamati Kuu ya Chadema na kusababisha mvutano miongoni mwa viongozi, akimpongeza Godbless Lema kwa kile alichodai kuwa ni alisimama kidete kutaka fedha hizo ziwekwe wazi na kuwajibishwa kwa waliohusika.

"Tumekuwa na Makamu Mwenyekiti ambaye amekuwa akichukua fedha kutoka kwa wadau mbalimbali lakini zimekuwa hazifiki ndani ya chama. Ndio maana juzi kwenye Kamati Kuu wamegombana. Nimpongeze sana Godbless Lema kwani alisimama kidete kutaka fedha hizi zirudi, lakini haikuwezekana kwani Makamu Mwenyekiti alidai kuwa ameshazitumia na nyingine amenununulia vyombo vya muziki vya chama," alisema Mchome.

Mchome amebainisha kuwa baadhi ya wafanyabiashara waliowasiliana na Uongozi wa Chadema kupitia Kamati kuu iliyoketi Mkoani Kigoma walithibitisha kuwa walitoa michango kwa Heche kwaajili ya kukisaidia chama. Pia alidai Heche alisafiri hadi Afrika Kusini kwa lengo la kupokea fedha kutoka kwa wadau, akitoa rai ya wanachadema kumshinikiza Heche kujiondoa kwenye uongozi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma hizo.

"Sasa niwaombe wanachama wa Chadema tushikamane kumtaka John Heche atupishe kwanza kwaajili ya uchunguzi. Chama hiki kinaamini katika misingi ya haki na kupinga ufisadi, kwa hiyo kwanini leo tumfumbie macho Heche?" alisema Mchome.

Katika hatua nyingine Mchome amemtuhumu Heche kunufaika kisiasa na hali ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu kuwa gerezani, akisema amekuwa akijijenga kisiasa pamoja na kutumia mwanya huo kuweza kufanya ubadhirifu kwa

Chanzo: Michuzi TV
Pumbavu ,chadema ni mpango wa Mungu
 
Hak

una shida ,ila mafisi wanaotumwa kusimiri mkono wa chadema utaanguka ili angalao mafisi makubwa yapore mnofu kutoka kwa mafisi wadogo pale mkono utakapo anguka!
 
Back
Top Bottom