CHADEMA kuna tatizo kama ni kweli

CHADEMA kuna tatizo kama ni kweli

Kumekuwa na shutuma nyingi sana juu ya uongozi wa juu wa chama.

Shutuma za ubadhilifu wa rasilimali fedha ndani ya chama.

Huu ni ushuhuda kutoka kwa mmoja wa viongozi wa chama mkoa wa Kilimanjaro.

Tujadili wana Jf

View attachment 3624857

---------------

Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Mwanga, Mkoani Kilimanjaro Lembrus Mchome ametoa tuhuma dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche, akidai kuwa amekuwa akikusanya fedha kutoka kwa wadau, wafanyabiashara na mashirika mbalimbali kwaajili ya shughuli za chama lakini fedha hizo hazijafikishwa kwenye mifuko rasmi ya chama.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mchome amedai kuwa suala hilo lilijadiliwa katika kikao cha Kamati Kuu ya Chadema na kusababisha mvutano miongoni mwa viongozi, akimpongeza Godbless Lema kwa kile alichodai kuwa ni alisimama kidete kutaka fedha hizo ziwekwe wazi na kuwajibishwa kwa waliohusika.

"Tumekuwa na Makamu Mwenyekiti ambaye amekuwa akichukua fedha kutoka kwa wadau mbalimbali lakini zimekuwa hazifiki ndani ya chama. Ndio maana juzi kwenye Kamati Kuu wamegombana. Nimpongeze sana Godbless Lema kwani alisimama kidete kutaka fedha hizi zirudi, lakini haikuwezekana kwani Makamu Mwenyekiti alidai kuwa ameshazitumia na nyingine amenununulia vyombo vya muziki vya chama," alisema Mchome.

Mchome amebainisha kuwa baadhi ya wafanyabiashara waliowasiliana na Uongozi wa Chadema kupitia Kamati kuu iliyoketi Mkoani Kigoma walithibitisha kuwa walitoa michango kwa Heche kwaajili ya kukisaidia chama. Pia alidai Heche alisafiri hadi Afrika Kusini kwa lengo la kupokea fedha kutoka kwa wadau, akitoa rai ya wanachadema kumshinikiza Heche kujiondoa kwenye uongozi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma hizo.

"Sasa niwaombe wanachama wa Chadema tushikamane kumtaka John Heche atupishe kwanza kwaajili ya uchunguzi. Chama hiki kinaamini katika misingi ya haki na kupinga ufisadi, kwa hiyo kwanini leo tumfumbie macho Heche?" alisema Mchome.

Katika hatua nyingine Mchome amemtuhumu Heche kunufaika kisiasa na hali ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu kuwa gerezani, akisema amekuwa akijijenga kisiasa pamoja na kutumia mwanya huo kuweza kufanya ubadhirifu kwa

Chanzo: Michuzi TV
Huyo msalitiwa siku nyingi aliyekuwa analishwa na msajili wa vyama ndiyo anakupa wewe taarifa? Au wewe ndiye yeye?
 
Chadema ina maadui wawili ambao inatakiwa kujidhatiti kukabiliana nao kuwashinda.

1. Mbowe na minions wake ambao alikuwa anagawana nao maokoto. Hawa hawajakubali kabisa kuwa chadema sio chama chao binafsi bali ni taasisi ya kijamii ambayo inahudumia jamii na sio kikundi cha wala rushwa na wapenda pesa za bure kilichokuwa hosted na kulelewa na macho manne a.k.a Mbowe.

2. CCM hawa ni wazi kuwa ni adui namba moja wa chadema ya sasa kwasababu kwanza chadema imebadili mfumo wa zamani wa ubadhirifu na uongozi wa undumila kuwili uliokuwa unaigiza uzalendo kumbe jioni wanagonga glass na vigogo hao hao na kugawana posho za udhalimu wao.

Kila siku ccm wanajaribu ku infiltrate ndani ya CHADEMA ili kuleta migogoro na kuharibu utaratibu wa ndani. Hii si sawa nyakati hizi za kujenga siasa safi ya kuimalisha democratic leadership.

Kama CHADEMA wanafanya uhujumu then utaratibu ni simple,fanya inquiry for financial reports and records halafu uje hapa utuonyeshe mapato na matumizi ya CHADEMA plus utuonyeshe hayo magepu ya wizi wa pesa yapo wapo na ututajie majina ya wadokozi ili hatua za kisheria zichukuliwe.

Kwa taarifa yako tu, vyama vya siasa huwa navyo vinapewa hati safi au chafu za mahesabu baada ya ukaguzi.

Je ,wewe unaweza kutuletea ushahidi wa hati chafu yenye ushahidi wa ubadhirifu ndani ya CHADEMA?

If so then you have every right kuwashambulia viongozi waliochezea pesa.
 
Duh na wewe.. Upooooo siku nyingi sijaona u humu.. Uendege nje ya boksi kwanza.

Umenikumbusha enzi zile 😁
Kila la kheri chadema boy
 
Hela ya Abdul ipo kazini - nategemea this week tupate vi clip vingi vya kusema Heche anakula hela ya chama, ni LAZIMA kina Abudul wafanye hivyo maana hawana namna nyingine tena.

Wanajaribu pia kuwanunua wajumbe wa Kamati Kuu - wacha tuone kama wataweza kupata hata robo ili waitikise CDM.

Hela za watanganyika zinatawanywa hovyo hovyo.
 
Tatizo ni akili zenu fupi.

CHADEMA mtafanikiwa kuifarakanisha na wananchi endapo wanachama wake watakuwa wameshapata option B.

Mbali na hapo mtahangaika sana bila mafanikio.
Bado athari za Uchaguzi uliomuondoa Mbowe kwenye Uenyekiti zipo.

zitto junior Tindo
 
sijui chochote khs hizo tuhuma lkn nijuavyo hakuna mfanyabiashara ndani ya tanzagiza anayeweza kuchangia chadema halafu ccm wakamuacha salama …
 
Shutuma zimekuwa nyingi sana kuhusu matumizi ya rasilimali za chama
Rasrimali zipi za chama zimetumiwa vibaya...?

Nani kazitumia vibaya na kwa namna gani..?

Unajua nini Mmawia...?

Wewe na wenzako mu wajinga. Hivi ndivyo ninavoweza kuwa - describe. I am sorry ukihisi nimekutukana. Hata hivyo, hivi ndivyo mlivyo...!

Kwa sbb mtu anayekubali kuhongwa vipesa ili akamseme mtu mwingine kwa uongo, obviously huyo mtu ni mjinga tu kwa kuwa anakuwa hajui afanyalo na athari zake..!

Mnatengeneza ujinga na upumbavu wenu huku na kuuita "kashfa dhidi ya John Heche" mkidhani kuwa Watanganyika wa Leo wanaweza kununua ujinga wenu. NO WAY...!!

Binafsi, nafahamu kuwa John Heche (Makamu Mwenyekiti CHADEMA - Tanganyika), Makamu Mwenyekiti CHADEMA - Zanzibar na Katibu Mkuu John Mnyika ndio nguzo kuu za CHADEMA kwa sasa wakati Mwenyekiti wa chama hiki Tundu Lissu akiwa gerezani...

Nafahamu pia kuwa ili CHADEMA isambaratike na iwe rahisi kukubali matakwa ya watawala hayawani wa serikali haramu chini ya CCM na Samia ni lazima itafutwe njia yoyote kuwafarakanisha hawa watatu ndipo mlango ufunguke...

Tunamfahamu fika kuwa mmeshakwenda kwao na mabilioni ya fedha za hongo ili wamsaliti Mwenyekiti wao aliyeko gerezani, wamekataa na hivyo mpango mzima kubuma...!

Sasa mnakuja na propaganda za kijinga, kitoto na upumbavu mtupu ambao kila aliye timamu wa akili akisoma au kusikiliza, anatambua mara Moja kuwa hakuna kitu hapa, ni matango pori tu...

Kuanzia fahamuni kuwa, waliochaguliwa kuongozwa chama hiki (CHADEMA) katika uchaguzi halali, huru, wazi na wa haki ni Tundu Lissu (M/Kiti), John Heche (M/M/Kiti - Tanganyika) na Said Issa (M/M/Kiti - Zanzibar) sambamba na utendaji uliotukuka wa secretariat makini chini ya Katibu Mkuu John Mnyika...

There's no way unaweza kuihonga timu hii na wasalitiane na kukirudisha matopeni tena chama hiki muhimu kwa mustakabali wa nchi na taifa la Tanganyika..

Ujasiriamali wa kisiasa wa Freeman Mbowe na chawa wake ulifikia ukomo wake 21/1/2025. Tunawahakikishia kuwa, there's no turning back...!!
 
Kiongozi kwanza Nashukuru sana kwa kufuatilia Mada yangu.

Pili nikujulishe tu kuwa mimi ni Kati ya waasisi wa CDM,kubakia kataa.

Binafsi sina tatizo na uongozi wa CHADEMA kabisa.
Nikichokifanya ni kuweka Hilo bandiko kwa Umma ili kama Kuna Hilo tatizo liwe hadharani ili lijulikane na kwa kufanya hivyo wale watuhumiwa watarudi nyuma kwa kuogopa nguvu ya Umma.

By the way nimekubaliana na ulivyo nihukumu kiongozi ila sipo huko ulipo nipangiq kwa mtazamo wako.
 
Mtoa mara katika Moja na mbili

Uzuri JF never forgets
 
Attachments

  • Screenshot_20260708-210219.jpg
    Screenshot_20260708-210219.jpg
    187.2 KB · Views: 10
Rasrimali zipi za chama zimetumiwa vibaya...?

Nani kazitumia vibaya na kwa namna gani..?

Unajua nini Mmawia...?

Wewe na wenzako mu wajinga. Hivi ndivyo ninavoweza kuwa - describe. I am sorry ukihisi nimekutukana. Hata hivyo, hivi ndivyo mlivyo...!

Kwa sbb mtu anayekubali kuhongwa vipesa ili akamseme mtu mwingine kwa uongo, obviously huyo mtu ni mjinga tu kwa kuwa anakuwa hajui afanyalo na athari zake..!

Mnatengeneza ujinga na upumbavu wenu huku na kuuita "kashfa dhidi ya John Heche" mkidhani kuwa Watanganyika wa Leo wanaweza kununua ujinga wenu. NO WAY...!!

Binafsi, nafahamu kuwa John Heche (Makamu Mwenyekiti CHADEMA - Tanganyika), Makamu Mwenyekiti CHADEMA - Zanzibar na Katibu Mkuu John Mnyika ndio nguzo kuu za CHADEMA kwa sasa wakati Mwenyekiti wa chama hiki Tundu Lissu akiwa gerezani...

Nafahamu pia kuwa ili CHADEMA isambaratike na iwe rahisi kukubali matakwa ya watawala hayawani wa serikali haramu chini ya CCM na Samia ni lazima itafutwe njia yoyote kuwafarakanisha hawa watatu ndipo mlango ufunguke...

Tunamfahamu fika kuwa mmeshakwenda kwao na mabilioni ya fedha za hongo ili wamsaliti Mwenyekiti wao aliyeko gerezani, wamekataa na hivyo mpango mzima kubuma...!

Sasa mnakuja na propaganda za kijinga, kitoto na upumbavu mtupu ambao kila aliye timamu wa akili akisoma au kusikiliza, anatambua mara Moja kuwa hakuna kitu hapa, ni matango pori tu...

Kuanzia fahamuni kuwa, waliochaguliwa kuongozwa chama hiki (CHADEMA) katika uchaguzi halali, huru, wazi na wa haki ni Tundu Lissu (M/Kiti), John Heche (M/M/Kiti - Tanganyika) na Said Issa (M/M/Kiti - Zanzibar) sambamba na utendaji uliotukuka wa secretariat makini chini ya Katibu Mkuu John Mnyika...

There's no way unaweza kuihonga timu hii na wasalitiane na kukirudisha matopeni tena chama hiki muhimu kwa mustakabali wa nchi na taifa la Tanganyika..

Ujasiriamali wa kisiasa wa Freeman Mbowe na chawa wake ulifikia ukomo wake 21/1/2025. Tunawahakikishia kuwa, there's no turning back...!!

Hapa ndio utamsoma vizuri mtoa mada
 
Mkuki kwa nguruwe. Hata Heche aliwatuhumu Sigrada na Salome bila ushahidi wowote. Mchome ana haki ya kusema lolote. Chama nacho kina haki ya kukataa ushauri wake. Ndio demokrasi.

Amandla....
Demokrasia inataka ufikiri kabla ya kuitumia.
 
Huu si muda sahihi wa kujadili matumizi ya fedha,ndugu zetu wameuwawa na serikali dhalimu ya Samia,uhai una thamani kuliko pesa,tupambane kuibana CCM.

Hao wanao rumbana juu ya fedha waende CCM,Kuna fedha za damu
 
Back
Top Bottom