Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 12,822
- 11,274
Wangefuata ahadi ya uwazi waliyotoa haya yote yasingetokea. Siri siri ndio zinaibua maneno haya.
Amandla...
Amandla...
Mbowe aendelee kupumzika tu hakuna aliyemmiss na vijana wake ndio wanazidi kuonesha picture yake halisi.Kwa nini wamemtimua? Nakumbuka Msigwa alipotoa shutma zake kuhusu ubadhirifu katika CDM ya Mbowe, Lissu alisema shutma zake zijibiwe. Na Msigwa hakufukuzwa kwenye chama. Sasa kwa nini badala ya kufuata ushauri wa Lissu na kujibu shutma za Mchome CDM wanamfukuza? Hawaoni kuwa kwa kufanya hivyo wanampa credibility ambayo pengine hastahili?
Amandla...
Huyu alishafukuzwa na wana mwenyekiti mwingine, huyu ni lile kundi la G55 waliokimbilia CHAUMMA, hakuna asiyejua hilo kundi kazi yao ilikuwa niniKumekuwa na shutuma nyingi sana juu ya uongozi wa juu wa chama.
Shutuma za ubadhilifu wa rasilimali fedha ndani ya chama.
Huu ni ushuhuda kutoka kwa mmoja wa viongozi wa chama mkoa wa Kilimanjaro.
Tujadili wana Jf
View attachment 3624857
---------------
Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Mwanga, Mkoani Kilimanjaro Lembrus Mchome ametoa tuhuma dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche, akidai kuwa amekuwa akikusanya fedha kutoka kwa wadau, wafanyabiashara na mashirika mbalimbali kwaajili ya shughuli za chama lakini fedha hizo hazijafikishwa kwenye mifuko rasmi ya chama.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mchome amedai kuwa suala hilo lilijadiliwa katika kikao cha Kamati Kuu ya Chadema na kusababisha mvutano miongoni mwa viongozi, akimpongeza Godbless Lema kwa kile alichodai kuwa ni alisimama kidete kutaka fedha hizo ziwekwe wazi na kuwajibishwa kwa waliohusika.
"Tumekuwa na Makamu Mwenyekiti ambaye amekuwa akichukua fedha kutoka kwa wadau mbalimbali lakini zimekuwa hazifiki ndani ya chama. Ndio maana juzi kwenye Kamati Kuu wamegombana. Nimpongeze sana Godbless Lema kwani alisimama kidete kutaka fedha hizi zirudi, lakini haikuwezekana kwani Makamu Mwenyekiti alidai kuwa ameshazitumia na nyingine amenununulia vyombo vya muziki vya chama," alisema Mchome.
Mchome amebainisha kuwa baadhi ya wafanyabiashara waliowasiliana na Uongozi wa Chadema kupitia Kamati kuu iliyoketi Mkoani Kigoma walithibitisha kuwa walitoa michango kwa Heche kwaajili ya kukisaidia chama. Pia alidai Heche alisafiri hadi Afrika Kusini kwa lengo la kupokea fedha kutoka kwa wadau, akitoa rai ya wanachadema kumshinikiza Heche kujiondoa kwenye uongozi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma hizo.
"Sasa niwaombe wanachama wa Chadema tushikamane kumtaka John Heche atupishe kwanza kwaajili ya uchunguzi. Chama hiki kinaamini katika misingi ya haki na kupinga ufisadi, kwa hiyo kwanini leo tumfumbie macho Heche?" alisema Mchome.
Katika hatua nyingine Mchome amemtuhumu Heche kunufaika kisiasa na hali ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu kuwa gerezani, akisema amekuwa akijijenga kisiasa pamoja na kutumia mwanya huo kuweza kufanya ubadhirifu kwa
Chanzo: Michuzi TV
Kwa hiyo? Lakini Mbowe ameingiaje hapa? Mmawia ameweka clip ya shutuma za Mchome. Zijibiwe shutma za Mchome, sio kukimbilia kichaka cha Mbowe.Mmawia ni kijana mtiifu wa Mbowe kama ilivyo kwa Yericko na ma ex wote wanaopambana mahakamani kuhakikisha chadema inakufa.
Sasa mbona hamuishi kumfuata fuata? Pambaneni na hao mnaowaita vijana wake, muache mjumbe wenu wa kudumu wa Kamati Kuu aliye mmoja wa waasisi wa CDM aendelee na maisha yake bila kumbughudhi. Kama hamu mmiss mpotezeeni.Mbowe aendelee kupumzika tu hakuna aliyemmiss na vijana wake ndio wanazidi kuonesha picture yake halisi.
ASANTE, mimi ni raia mpenda ukweliPamoja sana kiongozi tuijenge CDM yetu
CHADEMA hapati ruzuku hata 100.Kumekuwa na shutuma nyingi sana juu ya uongozi wa juu wa chama.
Shutuma za ubadhilifu wa rasilimali fedha ndani ya chama.
Huu ni ushuhuda kutoka kwa mmoja wa viongozi wa chama mkoa wa Kilimanjaro.
Tujadili wana Jf
View attachment 3624857
---------------
Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Mwanga, Mkoani Kilimanjaro Lembrus Mchome ametoa tuhuma dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche, akidai kuwa amekuwa akikusanya fedha kutoka kwa wadau, wafanyabiashara na mashirika mbalimbali kwaajili ya shughuli za chama lakini fedha hizo hazijafikishwa kwenye mifuko rasmi ya chama.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mchome amedai kuwa suala hilo lilijadiliwa katika kikao cha Kamati Kuu ya Chadema na kusababisha mvutano miongoni mwa viongozi, akimpongeza Godbless Lema kwa kile alichodai kuwa ni alisimama kidete kutaka fedha hizo ziwekwe wazi na kuwajibishwa kwa waliohusika.
"Tumekuwa na Makamu Mwenyekiti ambaye amekuwa akichukua fedha kutoka kwa wadau mbalimbali lakini zimekuwa hazifiki ndani ya chama. Ndio maana juzi kwenye Kamati Kuu wamegombana. Nimpongeze sana Godbless Lema kwani alisimama kidete kutaka fedha hizi zirudi, lakini haikuwezekana kwani Makamu Mwenyekiti alidai kuwa ameshazitumia na nyingine amenununulia vyombo vya muziki vya chama," alisema Mchome.
Mchome amebainisha kuwa baadhi ya wafanyabiashara waliowasiliana na Uongozi wa Chadema kupitia Kamati kuu iliyoketi Mkoani Kigoma walithibitisha kuwa walitoa michango kwa Heche kwaajili ya kukisaidia chama. Pia alidai Heche alisafiri hadi Afrika Kusini kwa lengo la kupokea fedha kutoka kwa wadau, akitoa rai ya wanachadema kumshinikiza Heche kujiondoa kwenye uongozi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma hizo.
"Sasa niwaombe wanachama wa Chadema tushikamane kumtaka John Heche atupishe kwanza kwaajili ya uchunguzi. Chama hiki kinaamini katika misingi ya haki na kupinga ufisadi, kwa hiyo kwanini leo tumfumbie macho Heche?" alisema Mchome.
Katika hatua nyingine Mchome amemtuhumu Heche kunufaika kisiasa na hali ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu kuwa gerezani, akisema amekuwa akijijenga kisiasa pamoja na kutumia mwanya huo kuweza kufanya ubadhirifu kwa
Chanzo: Michuzi TV
Tupe kwanza uadilifu wa mchome kwenye siasaKumekuwa na shutuma nyingi sana juu ya uongozi wa juu wa chama.

Na wewe unamjadili Mchome!Kumekuwa na shutuma nyingi sana juu ya uongozi wa juu wa chama.

Wewe unatumika kuhujumu chadema Kwa kujua au kutokujuaKumekuwa na shutuma nyingi sana juu ya uongozi wa juu wa chama.

Mmawia sikutegemea andiko kama hili toka kwako mtu mwenye wealth of experience kwenye siasa za nchi hii.Kumekuwa na shutuma nyingi sana juu ya uongozi wa juu wa chama.

Umeanza siasa za majungu na kitoto? Yaani matatizo yenu ya ndani ya chama yajadiliwe huku jf? Halafu huyo unayetaka tuhuma zake zijadiliwe kila siku anapambania kuhakikisha hicho chama kinakufa!Hapana inabidi tuyajadili kwa manufaa ya chama