Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,312
Ndio wafanye utaratibu wa kuwafanya mashabiki wawe wanachama na kukusanya wanachama zaidi ili come 2015 wavune kura nyingi.
asante mkuu,hilo ndio neno na kuna watu wanaenda kwenye mkutano wana pesa na wanahitaji kadi ila hawajui wazipate wapi na hawana muda wa kuzitafuta kwenye mashina au ofisi za chadema.