...... wengine wanakabiliwa na kesi mahakamani ambazo ama ni active au bado ziko njiani kama hiyo ya conspiracy ya kulipua vituo vya mafuta ambayo ni terrorism.Ni aina mpya ya siasa waliyoanzisha hawa Jamaa zetu CHADEMA baada ya kushindwa vibaya katika Uchaguzi mkuu, Kuikimbia Nchi na kuomba ukimbizi wa kisiasa.Sote tunajua sababu za wao kufanya hivyo....
Hamna Jambo lolote lile baya hawa Jamaa wameamua Tu kujidhalalishaKutakuwa kuna jambo, haiwezekani mtu kama Nyarandu akimbie aache mambo yake yote nyuma. Mimi nilihisi ni mambotu ya siasa za aupinzani ila huenda kuna jambo maana kuna mambo unaweza kuhisi hayatokei kumbe yanatokea.
Mimi binafsi field huwezi kuniona maana sio mwanasiasa na nina shughuli zangu nyingi zinanifanya niwe busy ili kila weekend nikalie stuli ndefu nikipiga charles glass!Mpo kwenye keyboard Tu kwenye field hamuonekani
Nilitaka uingie field kama Lema !!!Mimi binafsi field huwezi kuniona maana sio mwanasiasa na nina shughuli zangu nyingi zinanifanya niwe busy ili kila weekend nikalie stuli ndefu nikipiga charles glass!
Watu kama mimi ni tupo wengi ndio maana mtaona tunaendelea kuwapa somo hapa JF na kwingineko!
Maisha yanaendelea,au ulitakaje?
Magu ataishia kama wenzake akina Ghaddafi, Hussein Mubarak nkSafari ndio zimeanza.wanaondoka wote bakini na nchi yenu
Eti terrorism,shwain wangekuwa nje kwa dhamana?Ni wapi walioshtakiwa kwa ugaidi wanaachiwa kwa dhamana tena ndani ya muda mfupi?Angalia mashekhe wa uamsho,mwaka wa ngapi huu wako mahabusu?Ujinga mtupu!...... wengine wanakabiliwa na kesi mahakamani ambazo ama ni active au bado ziko njiani kama hiyo ya conspiracy ya kulipua vituo vya mafuta ambayo ni terrorism.
Ili iweje?Kwa hizi maiti za Tanzania?No way,maisha matamu bhana na hela ninayo!Iweje nihatarishe maisha yangu kupigania maiti?Nilitaka uingie field kama Lema !!!
Sheria inawataka bunge liwe na wabunge Wa upinzani ambao wanatakiwa kuongoza baadhi ya kamati za bunge,sasa hamkuwa na akili mmekuja shituka too late.manajinyeanyea sasa kuwalazimisha mtengeneze upinzani fake.Nilichofurahi ni kwamba kumbe wakipiga kelele huku wanavimbiwa wanajisahau dawa ni kuwanyima chakula ili mkimbie kimbie
Ni kweli Tanzania kwwnyebawamu hizi za maguduli sio salama kwa wanasiasa wa upinzaniNi aina mpya ya siasa waliyoanzisha hawa Jamaa zetu CHADEMA baada ya kushindwa vibaya katika Uchaguzi mkuu, Kuikimbia Nchi na kuomba ukimbizi wa kisiasa.Sote tunajua sababu za wao kufanya hivyo.
1,kuonesha dunia kwamba Tanzania sio salama chini ya Dr Magufuli haswa Kwa wapinzani wake wa kisiasa ambayo kiuhalisia ni uongo mkubwa.
2,kutafuta huruma ili ionekane hawatendewi haki katika Nchi Yao kiuhalisia ni uongo mkubwa
3,ukweli ni kwamba wote wanaokimbia hawana Pesa za kuijkimu kuishi hapa Nchini baada ya kukatishwa KAZI Yao ya uropokaji bungeni hivyo wanaenda huko kulishwa bure.
Viti maalum ni Kwa mujibu wa Sheria sio kwamba Mbowe kukosa ubunge ndio alete wivu wakeSheria inawataka bunge liwe na wabunge Wa upinzani ambao wanatakiwa kuongoza baadhi ya kamati za bunge,sasa hamkuwa na akili mmekuja shituka too late.manajinyeanyea sasa kuwalazimisha mtengeneze upinzani fake.
Kiujumla mnazidiwa akili nyie maccm.
Maiti za Tanzania mpaka zitakapojitambua safari ni ndefu,ila bado tutaendelea kuzipiga shoti huenda zikaamka!
Wenye maono kinzani bado tupo tupo sana,tutaendelea kuparuana pale mtakapoyumba!Mkikosea tunapiga msumari,we are just living our lives to the fullest!
Kwahiyo unakubali mashekhe wale walikuwa magaidi??Eti terrorism,shwain wangekuwa nje kwa dhamana?Ni wapi walioshtakiwa kwa ugaidi wanaachiwa kwa dhamana tena ndani ya muda mfupi?Angalia mashekhe wa uamsho,mwaka wa ngapi huu wako mahabusu?Ujinga mtupu!
Niko isbania nchini kenya ninaelekea ubalozi wa Sweden kuomba hifadhi mimi na familia yangu
Mmewashinda Kama mnavyoamini, sasa kwa nini tena mnawatishia kuwatoa roho!Kwa miaka mitano yote walikuwa wanapinga huku wanapokea mishahara na marupurupu kibao SASA mbona baada ya kushindwa wameanza kuikimbia Nchi kulikoni???waje wajiajiri tu
kwa sasa lema kurudia kazi yake ya zamani ni ngumu hataweza hivyi kamua kujificha aibu kupitia njia zingine za ukimbizi.Ni aina mpya ya siasa waliyoanzisha hawa Jamaa zetu CHADEMA baada ya kushindwa vibaya katika Uchaguzi mkuu, Kuikimbia Nchi na kuomba ukimbizi wa kisiasa.Sote tunajua sababu za wao kufanya hivyo.
1,kuonesha dunia kwamba Tanzania sio salama chini ya Dr Magufuli haswa Kwa wapinzani wake wa kisiasa ambayo kiuhalisia ni uongo mkubwa.
2,kutafuta huruma ili ionekane hawatendewi haki katika Nchi Yao kiuhalisia ni uongo mkubwa
3,ukweli ni kwamba wote wanaokimbia hawana Pesa za kuijkimu kuishi hapa Nchini baada ya kukatishwa KAZI Yao ya uropokaji bungeni hivyo wanaenda huko kulishwa bure.