Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,729
- 7,659
Swali la kujiuliza.
1. Kwanini haya yatokee kipindi hiki cha Jiwe?
2. Je ni kweli hawanyanyaswi na Utawala huu ulioko madarakani?
3. Polisi hawajawahi kuua halafu wao ndio wakashitakiwa na kuhukumiwa??
4. Je nikweli hawajawahi kushabuliwa kwa risasi za kivita na hadi leo hakuna mshukiwa aliyekamatwa??
Maovu yanayotendwa na vyombo vya usalama kwa baraka za Mfalme dhidi ya Wapinzani ninyi endeleeni kushangilia badala ya kukemea.
Ninyi mnaona furaha sana kwakuwa mpo upande wa Watawala. Mnapambana na Wapinzani wasiokuwa na Tume ya Uchaguzi wasiokuwa na Majeshi wasiokuwa na Mahakama wasiokuwa na Mtetezi yeyote yule zaidi ya kumtegemea Mungu aliyewaumba.
Halafu mnakuja na upuuzi wenu hapa eti wanakimbia njaa!! Mlitaka wafie hapa wakati wana ndugu na jamaa zao huko wanakokimilia. Mlitaka wakae wafanye nn wakati hata vikao halali ya vyama vyao hamtaki wavifanye.
Ninyi ni mashahidi mtu kama Mh Mbowe vitega uchumi vyake vingi vimeharibiwa na Watendaji wa Serijali chini ya Utawala huu. Sijawahi kuwaona watu wenye roho mbaya hata zaidi ya shetani kama hawa wa Serikali hii iliyoko madarakani.
Ningewaomba wale wote wanaoguswa na maovu yanayotendeka kwa Wapinzani na Serikali iliyoko madarakani tufunge na kuomba na hakika Mungu na Muumba wa Dunia hii atatenda jambo lenye kuamsha matumaini na faraja kwa ndugu zetu hawa wanaonyanyaswa kwenye nchi yao.