CHADEMA jifanyieni tathmini

Walau wewe una uelewa wa mambo kwa kiasi flani. Husukumwi tu na hisia za kiushabiki.

Lissu ni mwanasiasa high profile nchini.

Tayari alishahisi anawindwa.

Sielewi kwa nini CHADEMA hawakuwa proactive kwenye suala la ulinzi wake.

Kuhusu ulinzi kuwa ni wa juu Dodoma...look...inapokuja kwenye suala la ulinzi you don't take anything for granted.

Hata POTUS akiwa kwenye Oval office secret service huwa wapo futi chache kutoka alipo yeye.

Hata wao kwa wao huwa wanaangaliana kwa sababu ishawahi kutokea viongozi kuuwawa na walinzi wao wenyewe....rejea Indira Gandhi na Laurent Kabila.
Unaweza kushangaa hata wengine hiyo POTUS Na Oval Office kwao Ni terminologies mpya kabisa lakini wapo hapa kupinga mawazo yako
 
Mbona na nyie hampambani na hali yenu na mnaitegemea polisi iwakamate walohusika?

Nyie wafuasi hamna akili kabisa.

Mnachojua na mnachoweza ni kuzungusha mikono tu.
Kumbe Polisi ni wa CCM? Kumbe serikali ni ya CCM kwa ajili ya CCM na siyo ya Watanzania?

Hapa ndipo matatizo yetu yanapoanzia hapa.

Vyama vya siasa viwe na majeshi yake yanayotumia mabundiki kuwalinda wanasiasa wa vyama vya siasa.

Pamoja na changamoto za ujinga walizonazo watanzania kuaminishwa kwamba Serikali ni kwa ajili ya CCM na vyombo vya ulinzi na usalama ni kwa ajili ya CCM bado ninaamini na ni ukweli kwamba kazi hiyo ni ya Serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr.Slaa aliacha ombwe kubwa la uongozi CHADEMA haijafankiwa kuliziba ipasavyo ukweli huu hawataki kuukubali ili kurekebisha makosa waliyoyafanya.

Unajua maana ya ombwe? Hapa hiyo post yako inaingiaje? Elimu yetu kuna mahali inashida sana.
 
85ee72dfff91afa16bb78d787b3df31c.jpg
 
Wataishia kukutukana tu hawa mashabiki wa Chadema, wao hawaoni ulinzi binasfi wa Gwajima wakati kuna polisi.
 
Nyie CHADEMA sikilizeni....amkeni sasa.

Anzeni kuwa mnafikiria kwa hatua kadhaa mbele.

Hatua zenye manufaa kwa mustakabali wa chama chenu na viongozi wenu.

Hivi nyie mna idara ya usalama kweli? Kama mnayo, iweje suala la ulinzi kwa Tundu Lissu mlikuwa hamjaona umuhimu wake?

Kwa nini Lissu hakuwa na ulinzi imara wa watu wenye silaha za moto?

Kwa kweli hapo mmeudondosha mpira. Na kama mna watu wanaohusika na usalama ndani ya chama chenu basi hamna budi kufanya maamuzi magumu na kuwatimulia mbali.

Haiwezekani kiongozi mkubwa kwenye chama kama Lissu asiwe na usalama wa kueleweka.

Sijui mlikuwa mnaitegemea serikali kwenye hilo!

Kiongozi wa juu tena mwenye mbwembwe na cheche kama Lissu kutembea tembea bila ulinzi wa maana ni upumbavu.

Ni upumbavu kwa sababu tayari yeye atakuwa ni mlengwa wa mashambulizi toka kwa wabaya wake. Anapotembea bila ulinzi anakuwa ni shabaha iliyo rahisi sana kuilenga.

Haiingii akilini kwa nini hadi siku ya lile tukio mlikuwa hamjampatia ulinzi huyo mwanasheria wenu mkuu.

Shame on you.


samahani mleta maada, je chama cha siasa kinaruhusiwa kuwa na silaa? sheria inasemaje kuhusu kuwa na walinzi wenye silaa za moto?

miongozo ya tume ya uchaguzi inasemaje?

tuanza hapo, japo ni wazo zuri usemalo
 
Mbona na nyie hampambani na hali yenu na mnaitegemea polisi iwakamate walohusika?

Nyie wafuasi hamna akili kabisa.

Mnachojua na mnachoweza ni kuzungusha mikono tu.

hapo unakosea japo maada yako inamaana kama utaleta sheria zasemaje chama kumiliki silaa

ukitoa povu waonekana kibaka flani hivi mtata
 
Mbona na nyie hampambani na hali yenu na mnaitegemea polisi iwakamate walohusika?

Nyie wafuasi hamna akili kabisa.

Mnachojua na mnachoweza ni kuzungusha mikono tu.
bro Siki za nyuma nilidhani una Akili kumbe siyo

mi siyo mtaalam wa mambo ya usalama lakini kwa mantiki ukiruhisu kila Kundi kuunda jeshi LA ulinzi unaharisha usalama wa nchi. kwa Akili yako fupi unataka kila chama kiunde jeshi LA ulinzi
 
Mbona nyie ulinzi wa kibiti umewashinda na raia kibao wamekufa , sisi kajeruhiwa mtu mmoja povu tele. Shame on you too

Kama mwanaccm mwenzenu alitolewa bastola hadharan na hatua haijachukuliwa, unawezaje kuwatolea wengine maneno??

Sent using Jamii Forums mobile app

Ashakuwa Baby wa Bongo na si USA!
Kapata masilahi mapana siku hizi! Naona Le mm amepantia dili! Hahaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hahaha nmecheka sana ingawa sio mazuriii

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Back
Top Bottom