Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,401
- 20,661
Wewe kama umechomwa sehemu tulia hivyohivyo dozi iendelee kuingia.Kwahiyo wewe imekuchoma kivipi?
Sawa ila nakuona unavyo teseka sana na kina covid kuondolewa bungeni.Wewe kama umechomwa sehemu tulia hivyohivyo dozi iendelee kuingia
Mbona wewe ni kidudu?Hakuna kitu kitakachofanyika
Hilo jambo ndio limekwisha, wao waendelee kususa tu.
Haiwezekani serikali ikawa inafanywa kama shule ya vidudu.
Mahera inabidi afukuzwe kazi mara moja.Kama ni kweli, basi sasa itabakia filigisu za NEC. Sababu, moja ya madai ya Chadema ni kuwa orodha ya majina ya akina Mdee hayakutumwa na chama bali yalitungwa na tume yenyewe. Taasisi makini itataka kusafishwa dhidi ya tuhuma na uchafuzi huu.
CHADEMA ilipaswa kupeleka wabunge 19 mara tu baada ya Halima “kuforge” barua. Vitu vingine huhitaji hata diploma kuvielewa.Sawa ila nakuona unavyo teseka sana na kina covid kuondolewa bungeni.
Kila zama na kitabu chake bwashee!Hakuna kitu kitakachofanyika
Hilo jambo ndio limekwisha, wao waendelee kususa tu
Haiwezekani serikali ikawa inafanywa kama shule ya vidudu
Sasa ndiyo watapeleka mbona inakuuma sana?CHADEMA ilipaswa kupeleka wabunge 19 mara tu baada ya Halima “kuforge” barua. Vitu vingine huhitaji hata diploma kuvielewa
Kila zama na kitabu chake bwashee!
Serikali ya majizi ya kura ifanywe kama shule ya vidudu mara mbili?Hakuna kitu kitakachofanyika.
Hilo jambo ndio limekwisha, wao waendelee kususa tu
Haiwezekani serikali ikawa inafanywa kama shule ya vidudu
Mahera inabidi afukuzwe kazi mara moja.
Serikali ya majizi ya kura ifanywe kama shule ya vidudu mara mbili?
Endelea kukariri!Hizo zama mnazoongea mtadhan hao viongozi wametokea sayari ya pluto ndio wamekuja tz kuongoza
Wakati spika anaawaapisha wakina mdee mama samia alikuwa ajazaliwa?