CHADEMA ina mpango wa kupeleka wabunge wa Viti Maalumu kuchukua nafasi za Mdee na wenzake 18

Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
11,401
20,659
Kwa mujibu wa gazeti la RAIA MWEMA la leo 28 April, CHADEMA inataka Mdee na wenzie waondoke/waondolewe Bungeni mara moja ili chama kiweze kupeleka orodha ya wabunge wa viti maalumu kuchukua nafasi ya wale imposters

Msimamo huu mpya wa CHADEMA ni wa kumtambua Rais aliyepatikana kutokana na uchaguzi wa Oct 28 mwaka jana na kupokea ruzuku inayotolewa na Serikali.

Well, it was just a matter of time

0047CFA3-515D-495F-82E9-4E6B12083CDC.jpeg

 
CHADEMA ilipaswa kupeleka wabunge 19 mara tu baada ya Halima “kuforge” barua. Vitu vingine huhitaji hata diploma kuvielewa
Sasa ndiyo watapeleka mbona inakuuma sana?
Unaumia ukiwa wapi ndugu?
 
Serikali ya majizi ya kura ifanywe kama shule ya vidudu mara mbili?

Eeh mara mnasusa mara mnataka, mara hivi mara vile, come on now tunataka maendeleo sio kila siku tunaongea mambo ya chadema tu na madudu yao kama watoto
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom