Kichwa chako hakina akili
Kazi yangu ni kutoa darasa kwa nyie mliojitia utaahira usio na sababu
Kichwa chako hakina akili
Machadema mtamalizana wenyewe kwa wenyewe.
Mohamed Mtoi ni mwanachama na mtendaji wa chama aliyekabidhiwa majukumu na anayatimiza kadri inavyotakiwa.
Yuko anatimiza majukumu yake kwa chama kama kawaida. Anatimiza wajibu wake kama mwanachama. Anawajibika kama mtendaji kwa kadri ya nafasi yake.
CHADEMA au viongozi wake, hawapangiwi wala kupokea ushauri wa namna ya kusimamia, kuendesha chama au utendaji kazi wa kila siku kutoka kwa CCM na washirika wao (its cronies as I normally write).
Mleta mada anayo fursa nzuri ya kupeleka ushauri wake CCM ambako bila shaka wanamwamini zaidi kama sehemu ya vijana wao.
Mleta mada huyu angeshauriwa atumie fursa aliyonayo ya mawasiliano ya siri na wazi (kama alivyofanya hapa), aungane na wenzake kwenye lile tawi jipya la CCM, kuwapatia ushauri kama huu watu wa Lumumba au pale White House Dodoma.
Awashauri badala ya kufungia magazeti wafanyie kazi facts zinazosemwa na Magazeti mathalani tukio la kutekwa, kuteswa na kutaka kuuwawa kwa Dkt. Ulimboka.
Awashauri kuwa waache kufanya au kupalilia mauaji kisha wanawatuma mawakala wao kusema Ni Chadema.
Alipaswa awe amewashauri 'wenzake' wafanye uchunguzi wa kina na kuchukua hatua kwenye
.....Wito kwa CHADEMA; alichotahadharisha Joseph Ludovick kisichukuliwe kimasiahara. Tumaini Makene anaweza kurejea hapa baadae akiwa dekio la maji aliyomwaga mwenyewe!
Chadema mmeishiwa Sera hamna jipya la kuwaeleza wananchi kilichobaki ni kutafuta habari za kuungaunga ili kumkweza Slaa na Mbowe. Hivi kwa akili zenu fupi Slaa na Mbowe wadhuriwe kwa lipi?? Hao wameshakuwa historian 2015 wanajizika kabisa, hivi kama kweli CCM inataka kuwadhuru basi wakala ndio awe Mohamedi Mtoi?? Acheni uzushi kama mnataka kuuana sababu ya pesa za ruzuku tafuteni sababu nyingine, acheni kuitumia CCM, mlimuua Chacha Wangwe kwa tamaa damu yake inawadhuru. Kamanda Mohamedi Mtoi umejikita ndani ya kundi la wanafiki angalia sana tembelea familia ya Mwangosi ili upate picha kamili ya hao binadamu, utatumika mwisho wake itakuwa kama Ben SaananeTumaini Makene nilikuonya hapa mapema kabisa sasa unaona jinsi unavyogeuka dekio kwenye uzi huu? [h=2]Tunachukulia tahadhari kauli ya mawakala wa CCM kuhusu; Mwenyekiti Mbowe, Katibu Mkuu Dkt. Slaa[/h]Mkuu Pasco tuko pamoja
Kwa haraka nilidhani ni tatizo la uandishi na uwezo wa kueleza, pengine wangeongea naye angetoa ufafanuzi. Nidyo maana nikasema wamskilize, wachunguze anachokisema kabla hawajakibeba ama kukibeza.
Mohamedi Mtoi kajitolea maisha yake kwa Chadema leo anaambiwa asikae karibu na Dr.Slaa au Mbowe kama atakuwa nao lazima kuwe na watu wengine, leo Mtoi hana thamani, tulimwambia lakini Chadema na Mohamed wapi na wapi.
Mohamed Mtoi, anafahamika sana hapa lakini siyo wengi wanajua historia yake. Kufuatia hayo, yaliyomsibu kwa sababu ya CHADEMA, ni jambo la kuangalia kwa makini sana mintarafu usalama wa chama na viongozi wake.
Nashauri haraka na lazima,idara yetu ya ulinzi na usalama,na inteligensia, ihakikishe Mtoi hakutani na dokta Slaa na Mbowe akiwa peke yake.
Kwasababu ya uharaka na unyeti wa jambo hili,nategemea ujumbe huu utafsiriwe katika proper context, ndiyo maana nimeandika kwa jina langu.
Nimeshauri
Mohamedi Mtoi kajitolea maisha yake kwa Chadema leo anaambiwa asikae karibu na Dr.Slaa au Mbowe kama atakuwa nao lazima kuwe na watu wengine, leo Mtoi hana thamani, tulimwambia lakini Chadema na Mohamed wapi na wapi.
Mimi mwenyewe hapa nilipo sina chama, lakini nina marafiki zangu kibao CCM, Chadema, CUF na NCCR!, najua 100% sure ndani ya UKAWA kuna wana Ukawa wa ukweli na kuna "wasanii" tena ni wakubwa tuu, ila wako kwenye "payroll" ya wale "jamaa zetu", mimi nawajua fika!, kwa vile siko Chadema, nikiwashauri Chadema kuwa makini, kuwa ndani ya kundi lao la Mamba "Ukawa" na kenge wapo!, wanaweza wakapuuza!, jee unaijua kazi ya kenge kwenye kundi mamba?!. Kwa anayeijua kazi ya kenge kwenye kundi la mamba, hawezi kuambiwa kuna kenge na safari ikaendelea!, akapuuzia, eti tuu kwa sababu mtoa taarifa za kenge ndani ya kundi la mamba naye ni kenge!.
Pasco.
Mkuu asante tena, kama in reality shetani amewahi kumshauri Mungu, what is Chadema kukataa ushauri wa shetani as if ni chama malaika!.
mnaweza kuwa na malaika ndani yenu mkijijua kuwa ni malaika!, kumbe ni shetani!, sasa shetani mwingine anapowatahadharisha na malaika wenu kuwa ni shetani, issue sio kumpuuza, bali kumchunguza huyo malaika wenu kama kweli ni malaika au ni shetani!.
Asante,
Pasco.
Huyu Ludovick ambaye aliaminiwa na chama,alyekuwa karibu na Lwakatare akapanga njama haramu,wanajf kwa uzi wake huu,nakishauri chama kuhakikisha usalama wa Mtoi upo makini, katika kauli tu na mada yake inaashiria yeye na kundi lake wanalao jamno,mara nyingi dalili ya mvua ni mawingu
Dah Heshima kwako Pasco kifo cha Mtoi kwa mtitiriko wa hii mada wa kulaumiwa ni Tumaini Makene kwa kuonyesha wazi wazi kwamba Hawapendi kuchukua Ushauri kwa namna hii mnavyowaambia.... It really pain the toe, RIP Mtoi
wanabodi, nafanya tuu rejea, niliwahi kuwashauri nini Chadema kuhusiana na baadhi ya malaika wao ambao ni mashetani!.
Ushauri huu niliutoa 25th August 2014.
Kwa ushauri huu, watu humu ndani waliniita mimi ndio shetani!.
Thanks God, Mungu ameanza kuwaonyesha nani malaika, nani shetani!.
Rejea kama hizi zinatusaidia kukumbuka, nini kilisemwa lini, na nini kimetokea lini, hivyo next time, kitu kikisemwa, kisipuuze!.
siku zote nasisitiza humu, ni ukweli pekee tuu ndio utasimama mpaka mwisho!.
[h=3]CHADEMA msipuuzie ushaur!i[/h]Pasco
Kwa njaa watalazimisha watu kulala matanga mshika sumu wao Ben Saanane kapigwa zengwe chama hakimtaki vijana wa Lwakatare ni janga.
Dah Heshima kwako Pasco kifo cha Mtoi kwa mtitiriko wa hii mada wa kulaumiwa ni Tumaini Makene kwa kuonyesha wazi wazi kwamba Hawapendi kuchukua Ushauri kwa namna hii mnavyowaambia.... It really pain the toe, RIP Mtoi
Dah Heshima kwako Pasco kifo cha Mtoi kwa mtitiriko wa hii mada wa kulaumiwa ni Tumaini Makene kwa kuonyesha wazi wazi kwamba Hawapendi kuchukua Ushauri kwa namna hii mnavyowaambia.... It really pain the toe, RIP Mtoi