CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

Status
Not open for further replies.
Kamanda Mohamedi Mtoi naona unatoa kauli kama mwanamapinduzi angalia sana una familia inakutegemea kwa ufupi tu tembelea familia ya Mwangosi (R.I.P) ili upate picha kamili usijifananishe na Slaa au Mbowe hao ni matajiri wakubwa wanatumia watu wenye akili fupi kama zako.

Unataka Naye Awe Mchumia Tumbo Kama Wewe? Nyie ni wa kuhurumiwa tu!
 
Last edited by a moderator:
Sina muda kujibizana na MTU bahau mwenye akili za kushikiwa, mmetiwa akili za ujinga kujigeuza wapigania Uhuru angalieni familia ya Mwangosi kabla hamjajitoa mhanga, mtaacha watoto wenu wanateseka, Slaa na Mbowe hawana muda wa kutunza familia zenu wakipiga picha za promo kwenye magazeti mchezo umekwisha.

Kumbuka kuwa kama NYERERE,BI TITI na wenzake wangekuwa na mawazo ya kipuuzi kama yako,wakatanguliza ubinafsi kama mfanyavyo magamba na makuwadi wenu Taifa Hili Lisingepata Uhuru.Jitambue Acha Kutumia Tumbo Kufikiri.
 
Kamanda Mohamedi Mtoi naona unatoa kauli kama mwanamapinduzi angalia sana una familia inakutegemea kwa ufupi tu tembelea familia ya Mwangosi (R.I.P) ili upate picha kamili usijifananishe na Slaa au Mbowe hao ni matajiri wakubwa wanatumia watu wenye akili fupi kama zako.

Kwa Hiyo Mlimuua MWANGOSI ILI KUTISHA WAPIGANIA HAKI NA UHURU WA KWELI? Hiki kizazi hakiwezi kutishwa kwa propaganda za kitoto na nyepesi kama hizo huku kikundi kidogo cha mafisadi yakifaidi raslimali za umma na kuwafanya watz wengi kuwa maskini wa kutupwa.
 
Last edited by a moderator:
Sina muda kujibizana na MTU bahau mwenye akili za kushikiwa, mmetiwa akili za ujinga kujigeuza wapigania Uhuru angalieni familia ya Mwangosi kabla hamjajitoa mhanga, mtaacha watoto wenu wanateseka, Slaa na Mbowe hawana muda wa kutunza familia zenu wakipiga picha za promo kwenye magazeti mchezo umekwisha.

mmebanwa kama mjusi mlangoni ! Nakuambia hivi , hatutaacha mapambano hadi tone la mwisho! WANAFIKI WAKUBWA NYIE ! MNATEKETEZA MALI ZA NCHI KAMA MNAKUFA KESHO VILE , HATUTAKUBALI NI LAZIMA NCHI IKOMBOLEWE .
 
Kwa Hiyo Mlimuua MWANGOSI ILI KUTISHA WAPIGANIA HAKI NA UHURU WA KWELI? Hiki kizazi hakiwezi kutishwa kwa propaganda za kitoto na nyepesi kama hizo huku kikundi kidogo cha mafisadi yakifaidi raslimali za umma na kuwafanya watz wengi kuwa maskini wa kutupwa.

huyo chama , nimemdharau sana ! Kutumia kifo cha mwangosi kutisha watu ni ujinga wa kiwango cha mwisho mno !
 
Tatizo lenu ni unafiki umewajaa hadi kwenye kope za macho, mimi nawaeleza ukweli marehemu Mwangosi ni mfano halisi familia yake inataabika hakuna kiongozi yeyote anayeijali kina Slaa waliishia kupiga picha za promo
 
Kumbuka kuwa kama NYERERE,BI TITI na wenzake wangekuwa na mawazo ya kipuuzi kama yako,wakatanguliza ubinafsi kama mfanyavyo magamba na makuwadi wenu Taifa Hili Lisingepata Uhuru.Jitambue Acha Kutumia Tumbo Kufikiri.

Kenge nyie mnapigania uhuru wa wapi?? Wewe ni mchumia tumbo hicho mnachokipigania hakipo wenzenu wanapigania kula ruzuku nyie mnaishia kutoa povu Slaa kajenga hekalu kwa pesa za ruzuku wewe unafadhiliwa na shemeji kuishi mjini akili hiyo??
 
Usifikiri Laki Si Pesa hajui anachokifanya. Anajua sana. Lengo ni kuchonganisha CDM na waislamu kwa maslahi si ya waislamu au watanzania ila kwa maslahi yao hao mashetani wachonganishi.
Lengo ni kuonyesha kuwa CDM haiwataki waislamu. Hizi ndizo mbinu za aibu kabisa zinazoashiria kuwa chama cha mapinduzi CCM kimeishiwa hadhi zote za kuwa chama tawala na sasa kimekuwa chama cha kishetani tu.

Nawafahamu sana hawa propagandists wa chama cha mashetani. Kwanza elimu yao wengi ni ya kubabaisha tu. Baada ya kukosa kazi za maana, wameajiriwa na ccm ya kina nape.
 
mmebanwa kama mjusi mlangoni ! Nakuambia hivi , hatutaacha mapambano hadi tone la mwisho! WANAFIKI WAKUBWA NYIE ! MNATEKETEZA MALI ZA NCHI KAMA MNAKUFA KESHO VILE , HATUTAKUBALI NI LAZIMA NCHI IKOMBOLEWE .

Mbowe na Slaa wanakula pesa hizohizo au hulijui mnafiki wewe?? Kama una uchungu wa pesa za nchi ungeanza Chadema, chama hakina mwelekeo kwasababu ya pesa za ruzuku
 
Mohamed Mtoi, anafahamika sana hapa lakini siyo wengi wanajua historia yake. Kufuatia hayo, yaliyomsibu kwa sababu ya CHADEMA, ni jambo la kuangalia kwa makini sana mintarafu usalama wa chama na viongozi wake.

Nashauri haraka na lazima,idara yetu ya ulinzi na usalama,na inteligensia, ihakikishe Mtoi hakutani na dokta Slaa na Mbowe akiwa peke yake.

Kwasababu ya uharaka na unyeti wa jambo hili,nategemea ujumbe huu utafsiriwe katika proper context, ndiyo maana nimeandika kwa jina langu.

Nimeshauri

poleni sana vijana
nchi za wenzetu vijana wanapambana kujikwamua kimaisha na kufikiria kesho itakuwa nini,hapa Tanzania vijana tunapambana kurudishana nyuma,kila lenye kheri vijana wenzangu haya ndio maisha tuliyojichagulia
 
Kwa Hiyo Mlimuua MWANGOSI ILI KUTISHA WAPIGANIA HAKI NA UHURU WA KWELI? Hiki kizazi hakiwezi kutishwa kwa propaganda za kitoto na nyepesi kama hizo huku kikundi kidogo cha mafisadi yakifaidi raslimali za umma na kuwafanya watz wengi kuwa maskini wa kutupwa.

Muuaji wa Mwangosi ni Slaa kama umesahau jiulize kwa nini alishinikiza kufungua tawi ambalo lilishafunguliwa rasmi?? Na nini kilimfanya yeye abaki hotelini na kuwatoa kikoa watoto wa wenzie??
 
Mimi binafsi siamini kwamba watanzania waliowengi wamekosa uelewa kiasi hicho bali naamini kuna mageuzi makubwa sana ya uelewa wa watanzania.Anapojitokeza mtu halafu anajaribu kupindisha concentration ya watanzania kuhusu mageuzi nadhani huko ni kupoteza muda na gharama kama hali inavyoendelea kwenye mchakato wa katiba na bunge lake.Nadhani wakati wa mabadiliko umefika hata kuibuke jambo gani halitoweza kutuhamisha kwenye lengo letu la kuitoa CCM madarakani
 
Mohamed Mtoi, anafahamika sana hapa lakini siyo wengi wanajua historia yake. Kufuatia hayo, yaliyomsibu kwa sababu ya CHADEMA, ni jambo la kuangalia kwa makini sana mintarafu usalama wa chama na viongozi wake.

Nashauri haraka na lazima,idara yetu ya ulinzi na usalama,na inteligensia, ihakikishe Mtoi hakutani na dokta Slaa na Mbowe akiwa peke yake.

Kwasababu ya uharaka na unyeti wa jambo hili,nategemea ujumbe huu utafsiriwe katika proper context, ndiyo maana nimeandika kwa jina langu.

Nimeshauri

Wewe Ndio Utafanyiwa Uchunguzi wa Kina Maana unamadhara Sana
 
Kenge nyie mnapigania uhuru wa wapi?? Wewe ni mchumia tumbo hicho mnachokipigania hakipo wenzenu wanapigania kula ruzuku nyie mnaishia kutoa povu Slaa kajenga hekalu kwa pesa za ruzuku wewe unafadhiliwa na shemeji kuishi mjini akili hiyo??

Mwaka lazima utage,ku.ngu#ru wewe!
 
Kenge nyie mnapigania uhuru wa wapi?? Wewe ni mchumia tumbo hicho mnachokipigania hakipo wenzenu wanapigania kula ruzuku nyie mnaishia kutoa povu Slaa kajenga hekalu kwa pesa za ruzuku wewe unafadhiliwa na shemeji kuishi mjini akili hiyo??

Kumbuka MUNGU huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki,hivyo basi UKOMBOZI UTAKAPOPATIKANA,WEWE NA UKOO WENU WA PANYA MTAKUWA MUMEKOMBOLEWA PIA.
 
Mbowe na Slaa wanakula pesa hizohizo au hulijui mnafiki wewe?? Kama una uchungu wa pesa za nchi ungeanza Chadema, chama hakina mwelekeo kwasababu ya pesa za ruzuku

Tulia Dogo Na Acha Kutumika Kama Ndoomu,umebaki Kubwabwaja Tu Ili Mradi Mkono Uende Kinywani.Shame On You
 
Muuaji wa Mwangosi ni Slaa kama umesahau jiulize kwa nini alishinikiza kufungua tawi ambalo lilishafunguliwa rasmi?? Na nini kilimfanya yeye abaki hotelini na kuwatoa kikoa watoto wa wenzie??

Kwa Hiyo Slaa Ndiye Aliyewaamrisha Kamhanda Na Wapuuzi Wenzie Kumuu Mwangosi? Akili Zako Sawa Na Za Kuku Tu!
 
Kumbuka kuwa kama NYERERE,BI TITI na wenzake wangekuwa na mawazo ya kipuuzi kama yako,wakatanguliza ubinafsi kama mfanyavyo magamba na makuwadi wenu Taifa Hili Lisingepata Uhuru.Jitambue Acha Kutumia Tumbo Kufikiri.

achaa kabisa nawe usiwaze kwa kutumia tumbo, hebu nikuuulize swali moja ntajie nchi ya Africa ambayo haijapata Uhuru hadi leo hii!? kwa kifupi Uhuru ungepatikana tu kwani hata kabla ya wao watu walishaanza kuupigania Uhuru wao rejea vita ya majimaji,mkwawa na wajeruman nk.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom