CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

Status
Not open for further replies.
Kwa Hiyo Slaa Ndiye Aliyewaamrisha Kamhanda Na Wapuuzi Wenzie Kumuu Mwangosi? Akili Zako Sawa Na Za Kuku Tu!
Slaa ni mhusika mkubwa wa kifo cha Mwangosi yeye ndiye aliyewashiniza wapigania mkombozi kukaidi amri halali ya polisi. Na cha zaidi tawi like lilishapata ufunguzi rasmi wewe akili zako sio zinafanana na kuku bali ni kuku kwa uhalisia.
 
Tulia Dogo Na Acha Kutumika Kama Ndoomu,umebaki Kubwabwaja Tu Ili Mradi Mkono Uende Kinywani.Shame On You

Narudia tu siishi kwa kuramba mtu kinyesi, nawakumbusha tu nyie vichwa maji mliojigeuza wapigania Uhuru katika nchi huru.
 
Kumbuka MUNGU huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki,hivyo basi UKOMBOZI UTAKAPOPATIKANA,WEWE NA UKOO WENU WA PANYA MTAKUWA MUMEKOMBOLEWA PIA.

Ni ukombozi upi unaoupigania?? Hizi akili zenu za kihayawani ni mzigo kwa taifa.
 
Mkuu Tumaini Makeni, hii ni jana
CHADEMA au viongozi wake, hawapangiwi wala kupokea ushauri wa namna ya kusimamia, kuendesha chama au utendaji kazi wa kila siku kutoka kwa CCM na washirika wao (its cronies as I normally write).
Baada ya hii nilisema hivi
Mkuu Tumaini Makene, asante kwa taarifa hii kuhusu Chadema na viongozi wake katika suala zima la kupokea ushauri, ushauri siku zote huwa ni ushauri tuu, mshauriwa ana hiyari aupokee au kuupuuza.

Kwa vile sote tuko humu jf, sisi wengine hatuna vyama, mazuri tutapongeza, madudu tutakemea, na kwenye ushauri tutatao, its up to Chadema to take it or leave it, ila kuna sisi wengine hatupendagi makelele ya watu kuja kutulilia humu kila baada ya miaka mitano!, ndio maana sisi wengine tunashauri, na tukiisha puuzwa, wakati wa kuleta vilio humu vya November, 2015, sio tuu tutawakumbusha tuliwashauri nini, bali badala ya kuwapa pole kwa vilio, tutawazomea tukiamini hayo ndio mliyoyataka!.

Asante.

Pasco.

Kama haitoshi nikaongezea hivi
Mkuu Kilaza, asante tena, kama in reality shetani amewahi kumshauri Mungu, what is Chadema kukataa ushauri wa shetani as if ni chama malaika!.

Ila pia shetani mara nyingi sana anapenda kujidisguise kama Mungu au malaika, ili kuwachota kwa urahisi, hivyo anayewajua zaidi mashetani ni shetani mwenyewe!, mnaweza kuwa na malaika ndani yenu mkijijua kuwa ni malaika!, kumbe ni shetani!, sasa shetani anapowatahadharisha na malaika wenu kuwa ni shetani, issue sio kumpuuza, bali kumchunguza huyo malaika wenu kama kweli ni malaika au ni shetani!.

Asante,

Pasco.

Ni jana tuu, umepuuza, lakini leo Mkuu Tumaini umekuja ki hivi

Kuna upuuzi wa kupuuzwa na mwingine unastahili kupuuzwa kwa tahadhari. Jana katika thread moja hapa; https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/712800-chadema-imchunguze-mohamed-mtoi.html, yameandikwa maneno mengi ya kipuuzi ambayo yanaweza kupuuzwa, lakini bandiko hilo ukilisoma katikati ya mistari linaonekana kuzungumzia ujumbe usiopuuzwa.

Bila kulazimika kurudia maneno yote, haya yanaweza kuwasilisha concept inayopatikana katika ujumbe wote "Nashauri haraka na lazima,idara yetu ya ulinzi na usalama,na inteligensia, ihakikishe Mtoi hakutani na dokta Slaa na Mbowe akiwa peke yake.
Makene

Asante kwa hili, kupuuza kwa tahadhari, ni kuzingatia, ina maana ushauri umepokelewa!.

Even the devil, sometimes does good deeds, msipuuze tena ushauri wowote!.

Asante

Pasco
 
Kuna jambo bado sijapata jibu lake. Kibanda alimtambua Ludovick miongoni mwa wavamizi wake, Kibanda na Ludo walikuwa na ukaribu gani kabla hadi kumtambua usiku ule wa uvamizi?
 
Mkuu Tumaini Makeni, hii ni jana

Baada ya hii nilisema hivi

Kama haitoshi nikaongezea hivi

Ni jana tuu, umepuuza, lakini leo Mkuu Tumaini umekuja ki hivi

Asante kwa hili, kupuuza kwa tahadhari, ni kuzingatia, ina maana ushauri umepokelewa!.

Even the devil, sometimes does good deeds, msipuuze tena ushauri wowote!.

Asante

Pasco
Talk about a single good deed from the devil. I was taught that all that comes from the devil is evil!
 
Page 13 mpaka sasa zote nimezisoma nyingi naona zinamuona Joseph Ludovick kama hafai na hata anayoyasema ni uongo mweupe lakini mmesahau kuwa nae mlikuwa mnamuamini ndani ya chama kabla ayajatokea yale yaliotokea na kuonekana msaliti sasa lakini mwisho ameshauri vizuri tu kuwa "Nashauri haraka na lazima,idara yetu ya ulinzi na usalama,na inteligensia, ihakikishe Mtoi hakutani na dokta Slaa na Mbowe akiwa peke yake. Na mimi nashauri tu kama chama Mliangalie hili kwa uzito sana.Kwa nini anawataadhalisha juu ya ilo AKILLI ZA KUAMBIWA CHANGANYENI NA ZENU.
 
Mkuu Gagnija, thanks for this,

  1. Kwanza tukubaliane kuwa hapo mwanzo shetani alikuwa malaika kabla ya kuasi na kuitwa shetani!.
  2. Ni baada ya uasi ule ndipo Mungu akasemezana na neno, "Na tuumbe kiumbe kitakacho tutii" ndipo akaumba binadamu kwa mfano wake!. Shetani asingeasi tusinge umbwa!, isn't that good!?.
  3. Baada ya binadamu kuumbwa ni kweli alikuwa mtii, shetani akamshauri Mungu, kuwa ili kuuthibitisha utii wa binadamu, lazima apewe temptation akiyashinda majaribu ndio utii wenyewe!, Mungu akamruhusu shetani kuweka hizo temptations, hivyo temptations ni devils creation! isn't that good?!.
  4. Japo haikuandikwa popote, but it is the devil, ndio alimshauri Mungu, hiyo temptation iwe ni nini na iwekwe wapi kwenye mwili wa mwanadamu, wanaoamini kuwa ule mit wa katikati ni mti tuu endeleeni kuamini, na mnaoamini kula tunda ni tunda tuu, andeleeni kuamini, ila "mti" na "tunda" ni devils creation!, its'n that a good thing?.
  5. Alipoingia bustanini ku tempt Eva, alimweleza ukweli uliofichwa na Mungu, kuwa "akila" lile "tunda" kwanza atapata "raha kuliko raha zote" na pili atakuwa na ule uwezo wa Kimungu "kujiumbia viumbe wengine" ndio maana tendo lile linaitwa "dhambi ya asili" yaani ili binadamu mpya azaliwe, lazima kwanza hiyo "dhambi ya asili" itendeke!, isn't that something good?!.
  6. Na kwa sisi Wakatoliki, ukiisha zaliwa dhambi hiyo ya asili, inaondolewa kwa secramenti ya ubatizo!, na mapadri na masister wetu hawaruhusiwi kuitenda hiyo dhambi "calibacy!" isn't that good?!.
  7. Pamoja na binadamu wote kuzaliwa kwa tendo la dhambi ya asili, ila kuna kiumbe mmoja tuu aliyezaliwa bila dhambi ya asili, huyo ni Bwana wetu Yesu Kristo!, aliweza kuzaliwa bila dhambi ya asili baada ya mama yake Maria kukingiwa dhambi ya asili kwa kupata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, huku akiwa ni Bikira!, hivyo mimba ya Yesu, ilitungwa bila "tunda" kumegwa!, bila dhambi ile ya asili kutendwa!, isn't that good?!.
  8. Hata Yesu mwenyewe alijaribiwa na shetani na kuyashinda majaribu!, ile tuu kitendo cha shetani kutuletea majaribu, ile wale walio strong tuu ndio washinde, isn't that good?!.
  9. Shetani ndie source ya maovu yote, ni kufuatia uwepo wa shetani, ndio maana kuna wizi, magonjwa na mabalaa mbalimbali yakiwe majanga yote kabisa duniani, just imagine bila dhambi dunia ingekuwaje?!, fikiria ajira za mapolisi wote, majeshi wote, mahakama zote, magereza yote, mahospitali yote, wachimba makaburi wote, wajenzi wote wa miundombinu ya vituo vya polisi, mahakama, magereza, mahositali, makaburi, watengeneza majeneza, funeral homes, wale ma florists etc etc ambazo ni mulplicatio effects za kazi za shetani!, isn't that good?!.
  10. Hata bila ya shetani kuwaingia waliorekodi ile movie "bonafide genuine!" tungewajua kweli wenzetu ndio wanamipango hiyo?!.
Sio kila kitu cha shetani ni evils, some evil schemes are not real evil, that are blessing in disguise!. ushauri wa Ludo kwa Chadema ni blessing!.

Thanks.

Kwa mujibu wa maandiko matakatifu, SHETANI ana uwezo mkubwa wa kuhigeuza ni malaika wa nuru. Anapokuwa malaika wa nuru hata kwa miaka mia mbili huwezi kumjua.
 
Slaa ni mhusika mkubwa wa kifo cha Mwangosi yeye ndiye aliyewashiniza wapigania mkombozi kukaidi amri halali ya polisi. Na cha zaidi tawi like lilishapata ufunguzi rasmi wewe akili zako sio zinafanana na kuku bali ni kuku kwa uhalisia.

Kichwa chako hakina akili
 
Mkuu Gagnija, thanks for this,

  1. Kwanza tukubaliane kuwa hapo mwanzo shetani alikuwa malaika kabla ya kuasi na kuitwa shetani!.
  2. Ni baada ya uasi ule ndipo Mungu akasemezana na neno, "Na tuumbe kiumbe kitakacho tutii" ndipo akaumba binadamu kwa mfano wake!. Shetani asingeasi tusinge umbwa!, isn't that good!?.
  3. Baada ya binadamu kuumbwa ni kweli alikuwa mtii, shetani akamshauri Mungu, kuwa ili kuuthibitisha utii wa binadamu, lazima apewe temptation akiyashinda majaribu ndio utii wenyewe!, Mungu akamruhusu shetani kuweka hizo temptations, hivyo temptations ni devils creation! isn't that good?!.
  4. Japo haikuandikwa popote, but it is the devil, ndio alimshauri Mungu, hiyo temptation iwe ni nini na iwekwe wapi kwenye mwili wa mwanadamu, wanaoamini kuwa ule mit wa katikati ni mti tuu endeleeni kuamini, na mnaoamini kula tunda ni tunda tuu, andeleeni kuamini, ila "mti" na "tunda" ni devils creation!, its'n that a good thing?.
  5. Alipoingia bustanini ku tempt Eva, alimweleza ukweli uliofichwa na Mungu, kuwa "akila" lile "tunda" kwanza atapata "raha kuliko raha zote" na pili atakuwa na ule uwezo wa Kimungu "kujiumbia viumbe wengine" ndio maana tendo lile linaitwa "dhambi ya asili" yaani ili binadamu mpya azaliwe, lazima kwanza hiyo "dhambi ya asili" itendeke!, isn't that something good?!.
  6. Na kwa sisi Wakatoliki, ukiisha zaliwa dhambi hiyo ya asili, inaondolewa kwa secramenti ya ubatizo!, na mapadri na masister wetu hawaruhusiwi kuitenda hiyo dhambi "calibacy!" isn't that good?!.
  7. Pamoja na binadamu wote kuzaliwa kwa tendo la dhambi ya asili, ila kuna kiumbe mmoja tuu aliyezaliwa bila dhambi ya asili, huyo ni Bwana wetu Yesu Kristo!, aliweza kuzaliwa bila dhambi ya asili baada ya mama yake Maria kukingiwa dhambi ya asili kwa kupata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, huku akiwa ni Bikira!, hivyo mimba ya Yesu, ilitungwa bila "tunda" kumegwa!, bila dhambi ile ya asili kutendwa!, isn't that good?!.
  8. Hata Yesu mwenyewe alijaribiwa na shetani na kuyashinda majaribu!, ile tuu kitendo cha shetani kutuletea majaribu, ile wale walio strong tuu ndio washinde, isn't that good?!.
  9. Shetani ndie source ya maovu yote, ni kufuatia uwepo wa shetani, ndio maana kuna wizi, magonjwa na mabalaa mbalimbali yakiwe majanga yote kabisa duniani, just imagine bila dhambi dunia ingekuwaje?!, fikiria ajira za mapolisi wote, majeshi wote, mahakama zote, magereza yote, mahospitali yote, wachimba makaburi wote, wajenzi wote wa miundombinu ya vituo vya polisi, mahakama, magereza, mahositali, makaburi, watengeneza majeneza, funeral homes, wale ma florists etc etc ambazo ni mulplicatio effects za kazi za shetani!, isn't that good?!.
  10. Hata bila ya shetani kuwaingia waliorekodi ile movie "bonafide genuine!" tungewajua kweli wenzetu ndio wanamipango hiyo?!.
Sio kila kitu cha shetani ni evils, some evil schemes are not real evil, that are blessing in disguise!. ushauri wa Ludo kwa Chadema ni blessing!.

Thanks.

Pasco

Pasco Shetani hakuwahi kuwa Malaika bali aliishi pamoja na Malaika yeye asili yake ni majini na Mungu kamuumba kutokana na Moto wakati malaika wameumbwa kutokana na Nuru.

Pia shetani husema au kumhuishia mambo ya kweli mwanadamu muda mwingine lakini lengo lake likiwa lile lile ovu. Kuna wakati Shetani alimueleza swahaba mmoja wa Mtume swallah Allah Alaih wasalam Dua ya kujikinga nae na huyu swahaba akamueleza Mtume jambo hili yeye Mtume Muhammad swallah Allah Alaih wassalam akamjibu kwamba huyo Shetani kakuambia ukweli lakini usiamuamini.

Shetani husema kweli mda mwingine kutengeneza mazingira ya kuaminika lakini akilenga jambo ovu. Sema Ludo mwenyewe kawashauri mashetani wenzake kwahyo kuna uwezekano wa ushauri wake kwa mashetani wenzake una ukweli au anatengenezawa mtu zengwe kwa ajili ya kumtoa kafara pale matumizi yake yakishaisha.
 
.

Wewe mpuuzi na Pasco wako msituharibie thread. Nendeni jukwaa la dini mkajadiliane huko.
 
Last edited by a moderator:
Pia shetani husema au kumhuishia mambo ya kweli mwanadamu muda mwingine lakini lengo lake likiwa lile lile ovu. Kuna wakati Shetani alimueleza swahaba mmoja wa Mtume swallah Allah Alaih wasalam Dua ya kujikinga nae na huyu swahaba akamueleza Mtume jambo hili yeye Mtume Muhammad swallah Allah Alaih wassalam akamjibu kwamba huyo Shetani kakuambia ukweli lakini usiamuamini.

.
We bwe.ge ondoa ugaidi wako
 
.

Shetani husema kweli mda mwingine kutengeneza mazingira ya kuaminika lakini akilenga jambo ovu. Sema Ludo mwenyewe kawashauri mashetani wenzake kwahyo kuna uwezekano wa ushauri wake kwa mashetani wenzake una ukweli au anatengenezawa mtu zengwe kwa ajili ya kumtoa kafara pale matumizi yake yakishaisha.
Ludovick hawezi kuishauri Chadema.
Ushauri wake hautasikilizwa
Kilichopo ni kuwa Pasco, Zitto Joseph ludovic, Mwigulu Nchemba na Nape Nnauye mna mpango wa kumuua Slaa au Mbowe. Kama mlivyofanya kwa Lwakatate ndo mnataka kumtumia Mtoi kutiza uuaji wenu.

Chadema tupo imars dogo!
 
We unaongea kama mganga wa kienyeji bila vielelezo hakuna haja kukupatiliza.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom