CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

Status
Not open for further replies.
Mohamed Mtoi ni mwanachama na mtendaji wa chama aliyekabidhiwa majukumu na anayatimiza kadri inavyotakiwa.

Yuko anatimiza majukumu yake kwa chama kama kawaida. Anatimiza wajibu wake kama mwanachama. Anawajibika kama mtendaji kwa kadri ya nafasi yake.

CHADEMA au viongozi wake, hawapangiwi wala kupokea ushauri wa namna ya kusimamia, kuendesha chama au utendaji kazi wa kila siku kutoka kwa CCM na washirika wao (its cronies as I normally write).

Mleta mada anayo fursa nzuri ya kupeleka ushauri wake CCM ambako bila shaka wanamwamini zaidi kama sehemu ya vijana wao.

waropokaji mpo wengi sana
 
Mohamed Mtoi, anafahamika sana hapa lakini siyo wengi wanajua historia yake. Kufuatia hayo, yaliyomsibu kwa sababu ya CHADEMA, ni jambo la kuangalia kwa makini sana mintarafu usalama wa chama na viongozi wake.

Nashauri haraka na lazima,idara yetu ya ulinzi na usalama,na inteligensia, ihakikishe Mtoi hakutani na dokta Slaa na Mbowe akiwa peke yake.

Kwasababu ya uharaka na unyeti wa jambo hili,nategemea ujumbe huu utafsiriwe katika proper context, ndiyo maana nimeandika kwa jina langu.

Nimeshauri

Rubish.....
 
Si kila jambo ni la kudharau. Huyu bwana anaaminika sana CCM na ACT . Alichoamua kuabdika kwa id yake si cha kudharau hata kidogo na anajua Mohamed Mtoi ni member humu na anajua atakuja kukanusha na hapo ndipo atamwaga kila kitu. Tudharau hadharani lakini secretly afanyiwe uchunguzi. Sasa hivi hakuna mtu wa kuaminika kwa asilimia mia moja, ikizingatiwa MM2 bado hajafahamika.

MM2 alishajulikana ni Msafiri Mtemelwa wa urambo Tabora.
 
so funny

siasa za Tanzania zinaendeshwa mitandaoni
 
Mohamed Mtoi, anafahamika sana hapa lakini siyo wengi wanajua historia yake. Kufuatia hayo, yaliyomsibu kwa sababu ya CHADEMA, ni jambo la kuangalia kwa makini sana mintarafu usalama wa chama na viongozi wake.

Nashauri haraka na lazima,idara yetu ya ulinzi na usalama,na inteligensia, ihakikishe Mtoi hakutani na dokta Slaa na Mbowe akiwa peke yake.

Kwasababu ya uharaka na unyeti wa jambo hili,nategemea ujumbe huu utafsiriwe katika proper context, ndiyo maana nimeandika kwa jina langu.

Nimeshauri

mkuu. Ina maana na Mtoi nae anatembea na sumu?
 
Huna uhalali wakutoa ushauri kwa chama ilhali wewe ni kiongozi mwandamizi ndani ya ACT,

Tunafahamu vyema mikakati yenu yakupanga kuvuruga chama wakati huu wa Chaguzi mbalimbali na tunawaangalia kwa tahadhari kubwa,

Kamanda Mohameid Mtoi mpuuze tu huya Njaa kali.
 
Last edited by a moderator:
Mpumbav huyu, mnajarib kuweka fitna kwa mtoi ili mshushe speed yake ya mipini anayowapa, tafakuri tunduiz mtamjua tu, daadeki. MANI na Elli huyo mhaya mwehu sana
 
Last edited by a moderator:
Rejea uzi wenye kipande husika hapa chini:
......ni dhambi kubwa ambayo haitatulia mpaka iwatafune CHADEMA. Lazima iurudie uongozi wa sasa na kuutesa chini ya Sheria za Karma ( Pasco saidia wasioelewa) na lazima ikitese chama mbeleni. Ninaamini hawa Team CHADEMA wanaomdihaki Zitto leo kwa Baraka za wakuu ndani ya chama, siku chache sana zijazo, miongoni mwao wapo watakaohasi tena na kuwa Team Against CHADEMA/Mbowe/Slaa/etc. Na mashambulizi watakayopeleka kwa Team hasimu yatakuwa machungu zaidi na yenye mashiko kuliko aliyopelekewa Zitto. Jinsi chama kitakavyo handle mtafaruku katika scenario hii utawafanya hata vipofu waone double standard ninayoongelea leo. Na vipofu wakiona nadhani hapo hata mungu halisi wa chadema ambaye wao hujinasibu nao ataonekana!

Nathani sasa muda unaanza kuwa shahidi asiyedanganya! Naendelea kusubiri kwa uvumilivu mkuu kitakachokuwa kitubio cha Ben Saanane, Yericko Nyerere na mohamed Mtoi

Wito kwa CHADEMA; alichotahadharisha Joseph Ludovick kisichukuliwe kimasiahara. Tumaini Makene anaweza kurejea hapa baadae akiwa dekio la maji aliyomwaga mwenyewe!
 
Last edited by a moderator:
Mpumbav huyu, mnajarib kuweka fitna kwa mtoi ili mshushe speed yake ya mipini anayowapa, tafakuri tunduiz mtamjua tu, daadeki. MANI na Elli huyo mhaya mwehu sana

Kuna mtu alishauri lianzishwe jukwaa la vichaa
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Mtoi, anafahamika sana hapa lakini siyo wengi wanajua historia yake. Kufuatia hayo, yaliyomsibu kwa sababu ya CHADEMA, ni jambo la kuangalia kwa makini sana mintarafu usalama wa chama na viongozi wake.

Nashauri haraka na lazima,idara yetu ya ulinzi na usalama,na inteligensia, ihakikishe Mtoi hakutani na dokta Slaa na Mbowe akiwa peke yake.

Kwasababu ya uharaka na unyeti wa jambo hili,nategemea ujumbe huu utafsiriwe katika proper context, ndiyo maana nimeandika kwa jina langu.

Nimeshauri
ni vigum kukuamini mtu uliyekisaliti chama kwa vipande vitano vya elfu kumi.
 
Mtoi hajulikani anajishughulisha na nini chadema. Mtoi ni jobless
 
Rejea uzi wenye kipande husika hapa chini:

Nathani sasa muda unaanza kuwa shahidi asiyedanganya! Naendelea kusubiri kwa uvumilivu mkuu kitakachokuwa kitubio cha Ben Saanane, Yericko Nyerere na mohamed Mtoi

Wito kwa CHADEMA; alichotahadharisha Joseph Ludovick kisichukuliwe kimasiahara. Tumaini Makene anaweza kurejea hapa baadae akiwa dekio la maji aliyomwaga mwenyewe!

Fungulia thread yake tujadili otherwise huu tunauhesabu kama umbea tu.
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Mtoi, anafahamika sana hapa lakini siyo wengi wanajua historia yake. Kufuatia hayo, yaliyomsibu kwa sababu ya CHADEMA, ni jambo la kuangalia kwa makini sana mintarafu usalama wa chama na viongozi wake.

Nashauri haraka na lazima,idara yetu ya ulinzi na usalama,na inteligensia, ihakikishe Mtoi hakutani na dokta Slaa na Mbowe akiwa peke yake.

Kwasababu ya uharaka na unyeti wa jambo hili,nategemea ujumbe huu utafsiriwe katika proper context, ndiyo maana nimeandika kwa jina langu.

Nimeshauri

Kukutana na Dr Slaa na Mbowe ni issue? kweli kuna watu ni miyungu mtu
 
Mtoi hajulikani anajishughulisha na nini chadema. Mtoi ni jobless

Na wewe tuambie una shughuli gani hapa mjini kama sio kulamba viatu vya akina Nape hapo lumumba upate chochote cha kupeleka kinywani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom