CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

Status
Not open for further replies.
Mbona nyie wapumbavu wa ccm mnataka kuufanyia msiba wa KAMANDA MTOI campaigns kuweni na ubinadamu na heshima na Nafsi ya Marehemu sio kila mahali mnatumia akili za Lumumba.
 
Mbona sijaelewa mkuu? kwani kifo cha kamanda Mtoi kina utata mahali.? Ushauri gani ulitolewa ambao ungeweza zuia ile ajali ya jana? sijaelewa

Hata Mimi wameniacha,waliyesema achunguzwe ni Mtoi (R.I.P),inamaana amejiua ili Makene ajifunze kupokea ushauri!?
 
Mkuu Tumaini Makeni, hii ni jana

Baada ya hii nilisema hivi

Kama haitoshi nikaongezea hivi

Ni jana tuu, umepuuza, lakini leo Mkuu Tumaini umekuja ki hivi

Asante kwa hili, kupuuza kwa tahadhari, ni kuzingatia, ina maana ushauri umepokelewa!.

Even the devil, sometimes does good deeds, msipuuze tena ushauri wowote!.

Asante

Pasco

Dah!
Ina maana Mtoi alikuwa adui mkubwa wa Chadema? Post ya Pasco bado inanipa maswali.
 
Dah Heshima kwako Pasco kifo cha Mtoi kwa mtitiriko wa hii mada wa kulaumiwa ni Tumaini Makene kwa kuonyesha wazi wazi kwamba Hawapendi kuchukua Ushauri kwa namna hii mnavyowaambia.... It really pain the toe, RIP Mtoi
Tumaini makene sio mtu mzuri hata kidogo
Maskini Mtoi kafa kwa ajali kama Mzee Wangwe.
RIP BRO.
Big No Please!, msilete dhihaka kwenye majonzi! mnaongeza machungu badala ya faraja, msitake kupanda mbegu za chuki kwa watu!, mwenye uwezo wa kutoa roho ya mtu ni Mungu pekee!.

"The dead man tells no tells!, we should always talk good about the dead!.
Mtu akiishatangulia mbele ya haki, please tumzungumze kwa wema!.

Sisi wana jf we are different, lakini pia we are one katika makubwa ya msingi!, please lets be one katika hili!.

Rip Kamanda Mtoi!.

Pasco,

Heshima Mbele ni lazima watu tuwe na utu,kuna baadhi wengine utu kwao ni msamiati,Ni majonzi kwetu na kwa familia kuondokewa na kamanda Mtoi.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom