Just I'm saying...dont quote it...Ni kwamba Marehemu Mtoi alimkhusisha huyu Ludovick kwamba ana njama amfanyie ubaya na Mtoi akaweka wazi hapa kwamba nia yako mbovu itashindwa!! Kwakuwa Ludovick anatuhumiwa kupanga njama za Kigaidi kuwashambulia wanaChadema, Huyu Tumaini Makene alipewa tahadhali kwamba kutokana na huu uzi wa Mtoa Mada basi huyu Mtoi inabidi apewe Ulinzi wa Kutosha..(ushauri ambao haukufuatwa)!! Mazingira ya Ajali ya Mtoi yana taswira ya Umafia!! Aliwarudisha wenzake akabaki pekeyake kwenye gari akirudi nyumbani, Ukiangalia lile gari alilopata ajali kwa mtu makini ataona ni miujiza mtu kufa pale!!(Gari imevunjwa vioo tu) Uchunguzi huru Ufanywe!! Pasco
RIP KAMANDA MTOI
kama ni kweli basi siasa ni mchezo mchafu.