CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

Status
Not open for further replies.
Hapana Mkuu
Maudhui ya Uzi ni kuwa ulikuwa unawa alert CHADEMA kuwa Mtoi was a bad Man
Kifo cha Mtoi na Maudhui ya huu uzi haviendani kabisa.
Ni upuuzi kutaka kumpa Crediti Msaliti Ludo

Nisome hapo juu aisee... I mean huenda kifo cha Mtoi huyu Ludovick ahojiwe, sio Bure hapo... Nadhani umenisoma
 
Msituumize zaidi inatosha kwa haya tunayopitia kipindi hiki kigumu cha msiba wa Mtoi hasa kwa sisi tunaomfahamu toka udogoni....kuanzia Kindergarten mpaka o-level na baadae kazini na mwishowe siasani
 
Shame on you..wewe mleta uzi, watu wana majonzi ya kumpoteza ndugu yao wewe unakuja kueneza chuki hapa..!!! Mbona mna akiri za makarioni,
 
kaka usiongee kitu ambacho haukijui.Mwacheni mtoto wa watu apumzike hayo mengine hayana maana kwa sasa...dereva wa gari alikua mwendo kasi na na alikua amekunywa.barabara ina kona kali sana na za ghafla so gar ili mshinda ikadondokea bondeni yani ilibingilika zaid ya mara 7 mpk ikafika huko bondeni,km unayajua mazingira ya lushoto hauto pata shida kunielewa.tembea kaka uijue tanzania sio una ng'ang'ana tu na Mtwara tu....

So marehemu alikua mlevi??..wewe ndio usiongee ambacho hukijui
 
Mungu ailaze mahali pema Peponi Kamanda wetu Mohamed Mtoi.
Joseph Ludovick , mwenye jina halisi kwenye mtandao huu aliwahi kuandika haya kuhusiana Marehemu na chama chake.
Screenshot_2015-09-14-09-07-47.png
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom