Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Wewe Mhogo Mchungu bado umelala ebu amka!!!!!!!!! Hujui kwamba kulikuwa na taratibu za kufuata????????????? Hata hivyo umetoa majibu mwenyewe angalia nyekundu hapo juu. Tuliza kichwa kaa sawa!!!!!!!!!View attachment 20160
Usiku wa Septemba 25 mfalme Hussein wa Jordan alifariki na 26 akazikwa kwa kuwa muislam.
Pia mauji ya Pemba watu waliofariki walizikwa siku inayofuata kwa kuwa wote waliofariki ni madhehebu ya kiislam.
Unapokuwa karibu na waumini wa kiislam wanakwambia, kitu cha kwanza kufanyiwa baada ya kukamilika taratibu zote ni kupelekwa mahala pake pa milele yaani kaburini, ndio maana hata viongozi wakuu wa madhehebu hayo mara tu akifa hakai siku nyingi huzikwa
Kwa upande wa madhehebu mengine kama baba wa taifa alikaa muda wa 2 week.
Lkn chadema wameuweka mwili wa madhehebu ya kiislam siku 6 sawa na madhehebu mengine jambo ambalo ktk mtazamo wa kiislam sio nadra kutokea labda patokee dharura.
jee chadema hawakukiuka maadili?hawakuona haja ya kuuzika mapema?
Hata mimi naungana na wewe!nawachukia sana wapuuzi wanaojitahidi kujenga dhana ya kuwakosananisha CHADEMA na waislam!!
Hata mimi naungana na wewe!
jee hii kwa chadema tu?Chicken IQ!
Bw. Muhogomchungu umeleta hoja ya kipuuzi kabisa. Nyie ni wale mnaotaka kuleta migogoro ya kidini kwenye jamii.
Hii case ya marehemu waliokufa kwenye sakata la mauaji yaliyofanywa na Polisi kwenye maandamano ya Wana-chadema ni a very special case it must be treated differently. Lazima ujue kuwa hata muislamu akiuwawa kwenye hali za utata kama kupigwa risasi,kunyongwa,kunywa sumu na vitu kama hivyo lazima kuna taratibu za Polisi za kufanya postmortem ili kubaini kama marehemu aliuwawa na kitu gani.It can take day,two,three even a week kutegemea na mazingira.
Kwa hiyo kuzika siku hiyo hiyo au kesho yake marehemu tangu afariki is IMMATERIAL!
Kuna matukio ya ajali huwa yanatokea kama kuzama baharini na maiti inatafutwa hata kwa wiki 2 je, hapo wafanyaje na sharia yako ya KUZIKA CHAP CHAP??????????
Acha hizo bana! Crap.
Hao ndivyo walivyo hata machozi hayajakauka wao wanawaza pilau la hitma.unapenda pilau sana ...ushaanza kuliulizia mara hii....
Ataandaliwa na familia yake, CUF waliandaa kwa vile ni tawi la msikiti.