Chadema hawajakiuka maadili?

Watu wengine huwa mnawashwa kuandika chochote hata hakina miguu wala kichwa mara ngapi tumeaga miili ya waislam iliyokaa kwa motuali kwa muda mrefu Kawawa alikaa siku ngapi mbona hukuwalaumu CCM kuchelewesha na kuufanyia maonesho mwli wake.

Utaratibu unasemaje ? Unakumbuka marehemu makamu wa Rais Dr. Omari Ali Juma mazishi yake ? yalifanyika haraka na wala hakukuwa na maonyesho huo ndio utaratibu. Kama mwenzako anakosea na ww ndio ukosee? kweli CHADEMA si watu makini
 
Hapa tunazungumzia utaratibu, kama mwingine ameuvunja na ww ndio umuige ? Kwa Mungu wanaadamu wote ni sawa hajali pesa yako wala umaarufu wako bali ni matendo yako ndiyo yatakayo kuokoa au kukuangamiza

Sasa kama ni matendo Muislam alokufa asiposwaliwa ipasavyo atapungukiwa mathawabu mbele ya Mola?
Je kulikuwa na mjadala kama huu baada ya mazishi ya Kawawa??
 
Kawawa alikaa siku ngapi.

Tatizo lako ni mzito wa kufikiri , mie nasema utaratibu haukufuatwa, kubalini hilo. Marehemu Dr. Omari Ali Juma unakumbuka alikaa siku ngapi ? Marehemu Idrisa Abdul Wakil alikaa siku ngapi ?
 
Utaratibu unasemaje ? Unakumbuka marehemu makamu wa Rais Dr. Omari Ali Juma mazishi yake ? yalifanyika haraka na wala hakukuwa na maonyesho huo ndio utaratibu. Kama mwenzako anakosea na ww ndio ukosee? kweli CHADEMA si watu makini
Kawawa alikaa siku ngapi kama ni utaratibu wa kiislam mbona hujibu?

Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
Ahsantee.gif

Acha kutuletea mambo ya maiti hapa JF thank you!
 
Nimekuuliza hata kama kawawa naye alikaa ndio utaratibu ? mie nipo huku arusha kwa kweli kitendo kile hakikuleta picha nzuri na tena baada ya mzazi wa marehemu kutaka kuuchukua mwili wa mtoto wake akazike , viongozi wa CHADEMA wakakataa eti asubiri maandamano ya mazishi , yeye mwenyewe haikuwa hiari yake ni shinikizo la viongozi wa CDM ili kujitafutia umaarufu wa kisiasa
 
Hapo kwenye RED kama ndivyo uislamu unavyosema, basi nachukuwa fursa hii kumuombea radhi/samahani JK kwa kuufanya maonesho maiti ya Rashid mfaume kawawa, maana aliletwa pale karimjee na show ilikuwa ndefu kwa masaa mengi tu.
what a fact...mpe ukweli wake huyo.
 
Kwanini umekazania mambo ya maiti usituletee uchuro JF!
 
Hapo kwenye RED kama ndivyo uislamu unavyosema, basi nachukuwa fursa hii kumuombea radhi/samahani JK kwa kuufanya maonesho maiti ya Rashid mfaume kawawa, maana aliletwa pale karimjee na show ilikuwa ndefu kwa masaa mengi tu.

Nashukuru nilikuwa nataka kuuliza ya Karimjee ilikuwa nini!!! Thanks great thinker
 
MUNGU hutoa neema kubwa kwa wakubwa na neema ndogo kwa wadogo... naomba mnieleweshe jameni kwa heshima
 
Utaratibu unasemaje ? Unakumbuka marehemu makamu wa Rais Dr. Omari Ali Juma mazishi yake ? yalifanyika haraka na wala hakukuwa na maonyesho huo ndio utaratibu. Kama mwenzako anakosea na ww ndio ukosee? kweli CHADEMA si watu makini
Nakumbuka kuzunguka jeneza la Dr Omari pale Karimjee au unataka kuniambia ulikuwa msukule ule
 
Back
Top Bottom