Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
naona utafungua historia ya kila Pembe ya Dunia lkn bado hoja ikiwa ngumu kwako. sio kila mwarabu ni muislam. lkn pia tusichukulie mifano ya mbali sana wakati tunazungumzia Tanzania Arusha
Muhogomchungu;
Gamel Abdel Nasser Rais wa pili wa Misri kwa sababu maiti yake ilikaa ndani zaidi ya siku 3 kwa hiyo unahisi hakuwa mwislam?Au unajaribu kutuambia nini hasa tulipokupa hadi uthibitisho kuwa mara nyingine maiti ya kiislam hukaa zaidi ya masaa 24 bila kuzikwa!