Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
usitumie nguvu kufunga hoja, hoja nadhani itakuwa kubwa zaidi baada ya viongozi wa dini kutoa tamko
"Katika ibada hiyo, Sheikh Alawi, akisoma dua, alitangaza rasmi kuwa marehemu hao Omar Ismail na Denis Shirima wamefariki kishujaa"
(Ni kauli ya Shehe aliyesoma dua ya kumuombea marehemu Omary Ismail leo pale NMC-Arusha;habari ipo kwenye Gazeti la MTanzania la leo tarehe 13 January,2011)