Chadema hawajakiuka maadili?

muhogomchungu

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
375
3
ARUSHA.jpg
Usiku wa Septemba 25 mfalme Hussein wa Jordan alifariki na 26 akazikwa kwa kuwa muislam.
Pia mauji ya Pemba watu waliofariki walizikwa siku inayofuata kwa kuwa wote waliofariki ni madhehebu ya kiislam.
Unapokuwa karibu na waumini wa kiislam wanakwambia, kitu cha kwanza kufanyiwa baada ya kukamilika taratibu zote ni kupelekwa mahala pake pa milele yaani kaburini, ndio maana hata viongozi wakuu wa madhehebu hayo mara tu akifa hakai siku nyingi huzikwa
Kwa upande wa madhehebu mengine kama baba wa taifa alikaa muda wa 2 week.
Lkn chadema wameuweka mwili wa madhehebu ya kiislam siku 6 sawa na madhehebu mengine jambo ambalo ktk mtazamo wa kiislam sio nadra kutokea labda patokee dharura.
jee chadema hawakukiuka maadili?hawakuona haja ya kuuzika mapema?
 
waliouweka huo mwili ni watu wa Mortuary wakishirikiana na Mganga mkuu wa hospitali ya Mt Meru maana wamefanya postmortem asubuhi hii na ndipo walipotoa kibali cha kuuachia! lawama wape serikali ya CCM!
 
View attachment 20160
Usiku wa Septemba 25 mfalme Hussein wa Jordan alifariki na 26 akazikwa kwa kuwa muislam.
Pia mauji ya Pemba watu waliofariki walizikwa siku inayofuata kwa kuwa wote waliofariki ni madhehebu ya kiislam.
Kwa upande wa madhehebu mengine kama baba wa taifa alikaa muda wa 2 week.
Lkn chadema wameuweka mwili wa madhehebu ya kiislam siku 6 sawa na madhehebu mengine jambo ambalo ktk mtazamo wa kiislam sio nadra kutokea labda patokee dharura.
jee chadema hawakukiuka maadili?

Kwani umeambiwa kuwa CDM hakuna Waislamu wanaofahamu maadili ya Kiislamu?
 
View attachment 20160
Usiku wa Septemba 25 mfalme Hussein wa Jordan alifariki na 26 akazikwa kwa kuwa muislam.
Pia mauji ya Pemba watu waliofariki walizikwa siku inayofuata kwa kuwa wote waliofariki ni madhehebu ya kiislam.
Kwa upande wa madhehebu mengine kama baba wa taifa alikaa muda wa 2 week.
Lkn chadema wameuweka mwili wa madhehebu ya kiislam siku 6 sawa na madhehebu mengine jambo ambalo ktk mtazamo wa kiislam sio nadra kutokea labda patokee dharura.
jee chadema hawakukiuka maadili?

Maadili ya nani? Nafikiri huelewi hata maana ya maadili...simply poi ting finger to CDM doesnt really help anyone even yourself maana people know how to distinguish the right from the wrong. hata argument yako is contradictory, why not read again esp bold red...wewe ni kichekesho maana kama hoja zako ni za aina hii na pia lugha ndio kama ilivyo hapo juu, I am sure no one will ever take you seriously, on the contrary, utakuwa unajitapakazia shame
 
nawachukia sana wapuuzi wanaojitahidi kujenga dhana ya kuwakosananisha CHADEMA na waislam!!
sio kuwakusanisha mzee, tatizo linapotekea lijadiliwe, chadema sawa na Cuf na CCM, sio waungu wanakosea, kama pakikosewa basi paongewe, ni chama cha siasa, sio chama cha mbinguni
 
View attachment 20160
Usiku wa Septemba 25 mfalme Hussein wa Jordan alifariki na 26 akazikwa kwa kuwa muislam.
Pia mauji ya Pemba watu waliofariki walizikwa siku inayofuata kwa kuwa wote waliofariki ni madhehebu ya kiislam.
Unapokuwa karibu na waumini wa kiislam wanakwambia, kitu cha kwanza kufanyiwa baada ya kukamilika taratibu zote ni kupelekwa mahala pake pa milele yaani kaburini
Kwa upande wa madhehebu mengine kama baba wa taifa alikaa muda wa 2 week.
Lkn chadema wameuweka mwili wa madhehebu ya kiislam siku 6 sawa na madhehebu mengine jambo ambalo ktk mtazamo wa kiislam sio nadra kutokea labda patokee dharura.
jee chadema hawakukiuka maadili?hawakuona haja ya kuuzika mapema?

ni bora ukae kimya kuficha ujinga wako ndugu yangu,kwanza ueleweki ulichoandika,pili sijui kama unajua maana ya maadili au ulimaanisha nini,tatu wa kulaumu kuhusu ucheleweshwaji wa mazishi haya ni watu wa mount Meru hospital na jeshi lako la polisi nadhani na si cdm
 
Maadili ya nani? Nafikiri huelewi hata maana ya maadili...simply poi ting finger to CDM doesnt really help anyone even yourself maana people know how to distinguish the right from the wrong. hata argument yako is contradictory, why not read again esp bold red...wewe ni kichekesho maana kama hoja zako ni za aina hii na pia lugha ndio kama ilivyo hapo juu, I am sure no one will ever take you seriously, on the contrary, utakuwa unajitapakazia shame

ok, hoja hii inaweza ikawa kubwa mbeleni
 
itakua kubwa kwa waliolishwa ujinga badala ya elimu vichwani,lakini kwa waelewa na hata waislam wafuata dini ila wenye elimu vichwani hii si hoja ya kujadili ila ni rubbish tu
 
jee ingalimzika yule baadae wakafuata hawa ingalikuwaje?
 
itakua kubwa kwa waliolishwa ujinga badala ya elimu vichwani,lakini kwa waelewa na hata waislam wafuata dini ila wenye elimu vichwani hii si hoja ya kujadili ila ni rubbish tu
ni kubwa kama muislam, ni dogo kama utakuwa sio muislam
 
Back
Top Bottom