CHADEMA, anzisheni TV/Radio Station!

CHADEMA, anzisheni TV/Radio Station!

dr, Slaa jana kaja hapa na kutoa majibu na akaishukuru JF ngoja nikutafutie ile post nitaiquote na kuja nayo hapa

ilete mkuu,unajua ni vigumu kushinda jamvini na kusoma thread zote,kama umeiona we tujuze maamuzi aliyoyaleta! Asante mkuu.
 
VEMA KABISA INABIIDI CHADEMA IFIKIRIE SANA KWA NA ZANA ZAKE ZA TV KWA SABABU VYOMBO HIVYO HAASA ZA SERIKALI BAANA TUNAEONA WENYEWE. THEY ARE BAISE KABISA. EVEN ITV REALLY IF WE ARE TALKING OF FREE PRESS WE ARE NOT DOING ANYTHING AT ALL.

TUKO TAYARI KABISA HATA KUCHANGIA CHADEMA ----- PEOPLES JAMANI PITISHIENI MCHANGO TUKO TAYARI TUONE FIOKO FIOKO YA MTU KAMA AJAONA NGUVU YA UMMA. PEOPLES POWER ----- DR WA Ph.D SLAA ----- RAIS WETU WA HALALI SIO DR FAKE WALA RAIS KUCHAKACHUA.
 
Hoja ya Chadema kuwa na mtandao wake wa TV ni ya msingi. Kumbuka historia inaonyesha mafanikio makubwa ya kisiasa na kijamii yameweza kupatikana kwa matumizi ya mawasiliano ya radio na televisheni katika nchi mbali mbali na hasa zenye mafaniko ya ''utawala ulio bora'', hata kama si kwa asilimia zote. Lakini zaidi ya hapo Chadema ifikirie kuwa na kituo chake cha Redio pia!!!

Good thinking:spy:
 
Naunga mkono hoja ya kuanzisha Nguvu ya Umma Tv. Kwa kuwa hii Channel itakuwa ya watu, mi naahidi kuchangia sh. laki tano pindi mchakato wa kuchangisha utakapoanza.
 
mimi nitachangia 50,000, hata kama ni leo, hii redio itasaidia mama yangu, dada ,shangazi zangu kujitambua
 
mimi nitachangia 50,000, hata kama ni leo, hii redio itasaidia mama yangu, dada ,shangazi zangu kujitambua
 
wazo zuri.
fanya mpango tuanze kuchangisha hizo fedha haraka sana.
hapa najaribu kupiga mahesabu kama watanzania tupo takribani millioni 40,
tuseme watu millioni 3tu wakitoa sh 1000 kila m1 ni sh. 3000000000. tutafanikiwa sanaaaa.
 
wazo zuri.
fanya mpango tuanze kuchangisha hizo fedha haraka sana. hapa najaribu kupiga mahesabu kama watanzania tupo takribani millioni 40, tuseme watu millioni 3tu wakitoa sh 1000 kila m1 ni sh. 3000000000. tutafanikiwa sanaaaa.

Kabla hamjaendelea na hili ni vizuri mkaomba mchanganuo wa michango na matumizi ya fedha zilizochangishwa baada ya mauaji ya Arusha.

Na pia ripoti ya matumizi ya fedha za ruzuku kwa miaka mitano iliyopita.

Ni hayo tu...
 
Hoja hii naiunga mkono

Mamluki hawatakuwa na nafasi kwani CDM kitawazibiti
 
Chama cha Democrasia na Maendeleo (CDM) kina kila sababu sasa kuhakikisha kina azisha kituo cha TV, ili kuondoa hujuma tunazo zishuhudia katika TV yetu ya umma TBC dhidi ya kile kinachoonekana dhahiri kuziminya habari za chama hiki na wakati mwingine kutokukipa muda wa kutosha ukilinganisha na CCM.

Wote tunaelewa kuwa chama hiki kimeonesha kukubalika na wengi hasa vijana wengi wao wakiwa mijini,nadhani hapa jitihada za makusudi zinahitajika zifanyike ili elimu ya mabadiliko ifike mpaka vijijini ambako CCM bado imepafanya kama mtaji wa chama.so nafikiri,kama cdm tv itaanzishwa na ikawa na uwezo wa kuchana mawimbi nchi nzima basi moja kwa moja CCM ijiandae kuzikwa rasmi 2015.

Wito wangu kwa viongozi wa CDM kuandaa mkakati kabambe wa kitaifa waje nao kwa wapenzi na wanachama wote wa CDM bila kuwasahau hata wasiokuwa na chama ili kuendesha mchango wa fedha nchi nzima wa kuanzishwa kwa tv chadema je tuko tayari?.lakini nikileta hoja hii kwenu naomba pia nijulishwe je mamlaka ya anga hapa TZ ina kizuizi kisheria juu ya jambo hili kufanyika? Naomba kuwasilisha
.

long overdue...........Ushauri huu umekuwepo sana hapa JF.....not only TV but also Radio, Magazeti nk nk.............lakini naona kwa CDM........ haya mambo kwao ni kama SIKIO LA KUFA..............

wasiisingizie CCM kwa hili jambo............Hata Shemeji yangu Gwakisa ana Redio..........lol
 
wazo zuri.
fanya mpango tuanze kuchangisha hizo fedha haraka sana.
hapa najaribu kupiga mahesabu kama watanzania tupo takribani millioni 40,
tuseme watu millioni 3tu wakitoa sh 1000 kila m1 ni sh. 3000000000. tutafanikiwa sanaaaa.

Mbona cdm inachelewa, hili ni swala zito sana, wala sio la mzaha.:whoo:
 
Kabla hamjaendelea na hili ni vizuri mkaomba mchanganuo wa michango na matumizi ya fedha zilizochangishwa baada ya mauaji ya Arusha.

Na pia ripoti ya matumizi ya fedha za ruzuku kwa miaka mitano iliyopita.

Ni hayo tu...

Kama cdm ni mambo mengi tu ambayo hutakiwi kuhoji kwani majibu yake yanajidhihirisha waziwazi,mfano viongozi wa cdm umekuwa ukiwaona wakitawanyika mikoa mbalimbali kuwapelekea wananchi maneno ya ukombozi sasa usifikirie wanapokuwa ziarani wanatumia nguvu za giza kusafiri pamoja na safari mikutano pia inamaandalizi yake na mambo kama hayo,alafu uelewe kuwa ruzuku ya miaka mitano iliyopita obiviously matokeo yake umeyaona katika kinyang'anyilo cha uchaguzi wagombea (urais)amepita wilaya zote za tz na umeona wabunge wameongezeka maana raia waliona na wakalielewa somo la kujikomboa kwa kuwakataa mafisadi.Mwisho kujivua magamba kwa ccm unadhani kumetokana na nini?nadhani hapo jibu unalo.
 
TV na Radio za tanzania zinatia aibu, kwa kupendelea chama cha magamba waziwazi. sasa huwezi kumdanganya mtu kwamba eti cdm haiitaji Radio na TV.:whoo:
 
Chama cha Democrasia na Maendeleo (CDM) kina kila sababu sasa kuhakikisha kina azisha kituo cha TV, ili kuondoa hujuma tunazo zishuhudia katika TV yetu ya umma TBC dhidi ya kile kinachoonekana dhahiri kuziminya habari za chama hiki na wakati mwingine kutokukipa muda wa kutosha ukilinganisha na CCM.

Wote tunaelewa kuwa chama hiki kimeonesha kukubalika na wengi hasa vijana wengi wao wakiwa mijini,nadhani hapa jitihada za makusudi zinahitajika zifanyike ili elimu ya mabadiliko ifike mpaka vijijini ambako CCM bado imepafanya kama mtaji wa chama.so nafikiri,kama cdm tv itaanzishwa na ikawa na uwezo wa kuchana mawimbi nchi nzima basi moja kwa moja CCM ijiandae kuzikwa rasmi 2015.

Wito wangu kwa viongozi wa CDM kuandaa mkakati kabambe wa kitaifa waje nao kwa wapenzi na wanachama wote wa CDM bila kuwasahau hata wasiokuwa na chama ili kuendesha mchango wa fedha nchi nzima wa kuanzishwa kwa tv chadema je tuko tayari?.lakini nikileta hoja hii kwenu naomba pia nijulishwe je mamlaka ya anga hapa TZ ina kizuizi kisheria juu ya jambo hili kufanyika? Naomba kuwasilisha
.

Bila radio na TV sahau 2015, Huu ni ushauri mzuri na wa kuzingatiwa:shut-mouth:
 
Suala la chadema kuanzisha TV na radio station ni msingi sana.Naomba ikumbukwe kuwa si raia wote wanapata fursa ya kuhudhuria mikutano na mikusanyiko mbalimbali aidha kusikiliza au kuchangia katika mijadala.Wengine kwa sababu za kijiografia, majukumu ya kifamilia, kikazi, maumbile (mfano walemavu),itikadi (siasa) n.k. Nahisi pia vyombo hivi vitawasaidia kutoa ufafanuzi juu ya hoja mbalimbali zinazoibuliwa ktk nyanja mbalimbali, au kujibu mashambulizi ya wapinzani yao kwa wakati na/ kuwafikia watazamaji/wasikilizaji wengi kwa wakati mmoja (na kama sikosei kwa gharama nafuu zaidi).Nakubaliana na wachangiaji pia kuwa uanzishwaji wa vyombo hivi usiondoe utaratibu wa midahalo na mikutano ya hadhara ili kuendelea kuamsha ari mpya na kudumisha iliyopo sasa.
 
Kwa mujibu wa thread fulani ya siku za nyuma, Dk Slaa ulijitokeza na kusema tarehe 15 tutarajie habari mpya juu ya mabadiliko makumbwa kuhusu vyombo vya habari ikiwemo television.

Naomba utujuze tena mmefanikiwa au laa na kama hamjafanikiwa mchakato unaendelea vizuri?
 
ipo imeshaan za bt inaitwa maandamano tv

Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
Ahsantee.gif
 
Back
Top Bottom