CHADEMA, anzisheni TV/Radio Station!

CHADEMA, anzisheni TV/Radio Station!

CDM mnafanya kazi nzuri ya kulikomboa Taifa kwenye makucha ya ufisadi. Tupo tayari kuchangia ili kuanzisha TV na pia kituo cha redio ili habari za ukombozi ziwafikie wanachi wengi mijini na vijijini.

Mkikwama mahali tuambieni sisi wanachama wenye uchungu na nchi yetu Tanzania - Tupo tayari kuchangia mabadiliko ili watoto wetu wawe na Tanzania iliyo bora na inayojali haki za kila mtanzania awe - maskini au tajiri, CDM au CCM. CDM tunaamini kwamba uUBAGUZI na UFISADI ni mwiko, na Watanzania wote ni ndugu zangu !
 
Nenda kanunue sabuni na hiyo hela yako, watanzania wanalia shida wewe unaleta mawazo ya kuchangia chama.
 
Nenda kanunue sabuni na hiyo hela yako, watanzania wanalia shida wewe unaleta mawazo ya kuchangia chama.

Ndiyo, Niko tayari kutoa hazina yangu kwa mabadiliko Tanzania. Ili nchi yangu iwe na maendeleo na ustawi wa kila raia. CDM ndicho chama pekee kinachokithi ndoto zangu !
 
We umetumwa uje uchangishe watu humu.

Nikuuleze wewe, je umetumwa na CCM kupinga mabadiliko Tanzania ? je, hujui mjenga nchi ni mwananchi, na mvunja nchi ni mwana nchi ?

Sasa nikwambia tu ukweli : Hii ni mara ya mwisho kukujibu kwani asiyeelewa maana ya Utaifa na umuhimu wa kuwa na misingi bora ya sheria na zinazolinda rasilimali za taifa kwa manufaa wananchi wake, ni sawa na mamluki.

Najua MAFISADI ndani ya CCM wanapata presha sana kuona CDM inakemea ulaji wao.
 
wanakemea ulaji wakati wao wenyewe ni walaji,tusitake kubabaishana kijana.
 
Nenda kanunue sabuni na hiyo hela yako, watanzania wanalia shida wewe unaleta mawazo ya kuchangia chama.

kwani ccm walivyochangisha watu kwa njia ya simu hawakufahamu wananchi wana shida?
 
Nadhani ni wazo zuri kuanzisha redio ya umma isiyochakachulika ili vitu viwe vinamwagwa wazi wazi hata zikiwa za CDM zinamwagwa, au za CCM nazo zinamwagwa!
 
@kichomiz.
hapana,mi nilimshauri akanunue sabuni au hata akanunue kuku hii leo watoto wakajisifie shuleni kuwa wamekulala kuku.
 
Bring it on CDM, hata mie nitachangia hata kama si mwanachama, wamenikera sana hao CCM kutuita sie vijana majobless kuwa ni wavuta bangi!! Nitafanya chochote so that they pay kwa hiyo kauli.:mod:
 
^Sasa huo mchango wako utatokea wapi? Nenda kakabe mtu kwaajili ya ushabiki watu wakupige kibiriti.
 
Hatujapata jibu la swali lililoulizwa tayari mshapotea njia...hivi hawa mashosti wa ccm, Tv ya CDM inawahusu nini?eti kaka O.?
 
duh uyo msela atakua anapewa vijisent na ridh1 mana anakua ka hpendi mabadiliko ya nchi, kula ndio kila m2 atakula ila c kama kiwete anavyokula na hao ******* wake.
 
@kichomiz.
hapana,mi nilimshauri akanunue sabuni au hata akanunue kuku hii leo watoto wakajisifie shuleni kuwa wamekulala kuku.

Wewe naamini ni mtu mzima na uko timamu lakini unajifanya hauna fahamu.
Hivi ukila kuku leo kesho ukiamka huyo kuku ataendelea kukaa tumboni??
Raisi wako Mkapa alishawahi kusema: ukinipa mchele nitakula nitashiba, lakini ukinifundisha jinsi ya kuzalisha huo mchele nitakula kila siku.
Acha watu wachangie hiyo TV ya CDM. Mbona kule CCM, kuna magazeti ya kidaku, redio ya kimbea na bendi ya rusha roho?? Ina maana TV na Redio ya CDM imekuwa nongwa? Halafu hilo ni ombi la wananchi wenyewe, hajaja Mnyika, Zitto au Regia kuja kuomba Mchango wa mtu.
 
Kaka ndio huwezo wao wa kufikiri Ushahidi huu hapa!

attachment.php

Hawajuhi matatizo ya watoto ni nini? sembuse watanzania? wao wanafikiria TUMBO tu na PIPI ila wamesahau ELIMU BORA.
Lakini mtoto ni rahisi kumghilibu kwa PIPI na atasahau kudai MADAWATI.

attachment.php

Hivi kwa mazingira kama haya unaweza kumpata RZ1? Nape? W.Malecela? Jauary?
hhaha msahau!!!!!!!

pipi.jpg watoto darasani.jpg
 
]@kichomiz[/COLOR].
hapana,mi nilimshauri akanunue sabuni au hata akanunue kuku hii leo watoto wakajisifie shuleni kuwa wamekulala kuku.
mambo ya fcebook kwa kiina jerry slaa haya! hay a JF hatuna mtindo wa ku -qoute mtu namna hii aisee
 
Nenda kanunue sabuni na hiyo hela yako, watanzania wanalia shida wewe unaleta mawazo ya kuchangia chama.

nyie mbona mmetumia fedha za watanzani kugalamia jeikei kwenda ikulu through EPA N.K leo unajitia kuwahurumia watanganyika.acha unafiki maramoja!
 
Back
Top Bottom