CHADEMA, anzisheni TV/Radio Station! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA, anzisheni TV/Radio Station!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ba Martha, Sep 10, 2010.

 1. Ba Martha

  Ba Martha JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kutokana na msukumo na hali halisi hapa kwetu Tanzania kuonyesha kuwa vyombo vingi vya habari ama kununuliwa na selikali ya CCM au watu wenye maslahi yao binafsi katika kutangaza habari na kutetea upande wao, huku upande wa pili ukikandandamizwa, Ningependa kutoa ombi hasa kwa CHADEMA kumiliki vyombo vyake vya habari hasa televisheni na radio ili wananchi wengi zaidi waweze kupata kile ambacho kinastahili wakipate katika nyanja za kisiasa, kijamii, kiuchumi na kiutamaduni.

  Nadhani hilo litakuwa na faida nyingi sana katika kutangaza sera za chama na malengo yake kwa wananchi walio wengi wenye kiu ya mabadiliko katika nchi yetu..

  Natoa hoja.
  Mungu ibariki Tanzania
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Watawanyima kibali cha kurusha matangazo
   
 3. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Wanahitaji sana airtime hasa kupitia redio, TV nyingi hazifiki vijijini kwani umeme hakuna radio ingeleta impact zaidi. Airtime ingewasaidia sana sana lakini hawawezi kwa sasa it is too late kununua sidhani kama wana funding wakitaka airtime wanakatiwa basi yaani wamekuwa watoto yatima kwelikweli
   
 4. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Too late. Hata kama wakiamua kufanya hivyo, mchakato wake wa kupata go ahead toka TCRA ni mrefu sana probably 6 months minimum (Practically) na hata wakipewa masuala ya ujenzi wa kituo na mambo ya nufundi ni kadhia nyingine.

  Isitoshe, sasa hivi ni zama za Digital TV kwa station zote mpya. Kufikisha signals zako kwa watazamaji lazima upitie (Starmedia) ambao ni TBC, au Basic Transmission (ambao ni Star TV + ITV) au upitie Agape Associates.

  Kwa hiyo huenda yakawa yale yale ya Kocha wao, wachezaji, wenyewe, marefa wenyewe, don't expect miracle.

  Nakutakia Idd njema mkuu!
   
 5. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Kuna mdau alisema hapa jamvini wakati wa ufunguzi, vituo vyote waliwanyima Airtime. TBC1 walilazimika kwa kuwa UNDP walifund launching ya vyama vyote katika TV. Ila sijui kwa nini vyama vingine vidogo, hawajapewa fursa hiyo.
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Desperate situations calls for desperate moves. Chadema haiko desperate, acha CCM wachakatuke. Naunga mkono kupata airtime kwenye radio manake wanaoangalia tv (walioko mijini) hawahitaji elimu kama walioko vijijini. Kuna vijiji hapa tz wanajua Nyerere ndo rais hadi leo, mwenge hawajauona for years....If not now, time will tell.
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Sep 10, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  yaani kweli mnafikiri Chadema hawajui umuhimu hata wa kuwa na gazeti lao kama Uhuru?
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Mh, Tanzania yetu hii mnadhani watapewa vibali? Kazi ipo!
   
 9. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Yaani CHADEMA waiombe Serikali ya CCM Kibali cha Kumiliki TV?
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mbali na ugumu wa kibali lakini pia kuanzisha Tv station inahitaji capital kubwa sana.
  Sijui CHADEMA wana vyanzo vingine vya kujipatia pesa mbali na Ruzuku na ada ya wanachama ambao wengi wao ni wazito kuchangia.
   
 11. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  support
   
 12. Mbwiga_Plus

  Mbwiga_Plus Senior Member

  #12
  Jan 7, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni wazo zuri na lilishatolewa hapa tokea enzi za uchaguzi...
  Nadhani kwa vile viongozi wetu wanapitia hapa wameshaliona hili..
  Kinachotakiwa ni wao kulipitia na kuona uwezekanaji wake kisera, then kuna watu ambao walionyesha hata moyo wa kuchangia hii kitu in case ikianza kuoperate!
  Ni wazo zuri!
   
 13. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Ni kweli wakati umefika kwa chadema kumiliki vyombo vya habari.
   
 14. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,293
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Ba Martha

  Toka lini chadema wametangaza sera na malengo ya chama chao? na hata ikianzishwa sioni kama itakua na jipya zaidi ya kuhamasisha vurugu ambazo hatuzitaki sasa hivi!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,293
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  mbona mnavyo tatizo vinaandika habari zilezile kila siku! vimekosa mvuto!
   
 16. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #16
  Jan 7, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  ...Kalagabaho, you name answers for yourself so just shut up your f#$%^ing mouth!
   
 17. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #17
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,293
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  one man's terrorist is another man's freedom fighter
   
 18. Mbwiga_Plus

  Mbwiga_Plus Senior Member

  #18
  Jan 7, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nachukia Waafrika wanaoishi kwa propaganda...
  Ni vyombo gani registered vya CHADEMA unavyovijua?...kama si spoon-fed information hiyo?
  Kuwa mkweli ubaki huru..Ongea ukweli, hutoharibikiwa na kitu.
   
 19. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #19
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,293
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  what? you are really black minded moses!
   
 20. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #20
  Jan 7, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wazo limekuja wakati muafaka, wasitunyanyase na vyombo vyao. Kuna watu ka akina m. Hawaipendi ccm lakini wanawatangaza kwa woga tu.
   
Loading...