rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
wakuu huu ni mtazamo wangu binafsi!!
uchaguzi mkuu wa mwaka jana yalijitokeZa matatizo yanayofanana na haya yaliyojitokeza igunga,
daftari la wapiga kura lilikuwa vichekesho,majina ya wapiga kura kutokuwepo kituoni,shahada za wapiga kura kuuzwa kwa ccm,wapiga kura kujitokeza kwa wingi kwenye mikutano ya kampeni lakini kutoonekana kwenye upigaji kura!
umefika wakati watanzania wapenda mabadiliko tukae chini tuangalie upya utaratibu wa upigaji kura huu ulioandaliwa na ccm,
najua na ninaamini kabla ya 2015 kutakuwa na majibo mengi yatakayokuwa wazi na itabidi chadema ishiriki kuwania kiti
sioni sababu ya kuendelea kufanya mambo yaleyale miaka nenda rudi
tukubali kubadilika ili mshindi atakayepatikana kwenye uchaguzi wowote ule awe wa halali kabisa
ushauri wangu,chadema andikeni report mambo yote yaliyotokea na kutafuta ma-consultant wa kimataifa wasaidie kutoa ufumbuzi tufanyeje,
tukiendelea kushiriki chaguzi kama hizi tutaendelea kushindwa na kamwe hatutaweza kuiondoa ccm madarakani
swala la kwenda mahakamani kama alivyoshauri ziito kamwe halitalipa