Chadema Andikeni Report ifanyiwe kazi!

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,889
3,412
wakuu huu ni mtazamo wangu binafsi!!
uchaguzi mkuu wa mwaka jana yalijitokeZa matatizo yanayofanana na haya yaliyojitokeza igunga,
daftari la wapiga kura lilikuwa vichekesho,majina ya wapiga kura kutokuwepo kituoni,shahada za wapiga kura kuuzwa kwa ccm,wapiga kura kujitokeza kwa wingi kwenye mikutano ya kampeni lakini kutoonekana kwenye upigaji kura!
umefika wakati watanzania wapenda mabadiliko tukae chini tuangalie upya utaratibu wa upigaji kura huu ulioandaliwa na ccm,
najua na ninaamini kabla ya 2015 kutakuwa na majibo mengi yatakayokuwa wazi na itabidi chadema ishiriki kuwania kiti
sioni sababu ya kuendelea kufanya mambo yaleyale miaka nenda rudi
tukubali kubadilika ili mshindi atakayepatikana kwenye uchaguzi wowote ule awe wa halali kabisa
ushauri wangu,chadema andikeni report mambo yote yaliyotokea na kutafuta ma-consultant wa kimataifa wasaidie kutoa ufumbuzi tufanyeje,
tukiendelea kushiriki chaguzi kama hizi tutaendelea kushindwa na kamwe hatutaweza kuiondoa ccm madarakani
swala la kwenda mahakamani kama alivyoshauri ziito kamwe halitalipa
 
Mtasema mengi sana leo, ndio mwakumbuka masuala ya ripoti sijui nn. Tatizo liko kwenye chama chenu ni udini, ukabila, ukanda, uongozi wa kiukoo nk . Kama ni ripoti hizo ndizo ziwe hadidu za rejea
 
tunafanyia kazi hili,tunasubiri gamba lingine liondoke halafu magamba mtaona kazi itakayofanywa!
 
Mtasema mengi sana leo, ndio mwakumbuka masuala ya ripoti sijui nn. Tatizo liko kwenye chama chenu ni udini, ukabila, ukanda, uongozi wa kiukoo nk . Kama ni ripoti hizo ndizo ziwe hadidu za rejea

Unapotoa shutuma nzito kama hizi ni vizuri uka substantiate mkuu. Fanya kama cdm wanavofanya wakisema X ni mwizi wanatoa facts. Mkuu huu soi muda wa kutudanganya tena. Sema ukweli kwa kutumia facts otherwise unajivunjia heshima.
 
bila kuangalia mrengo wa kisiasa, Elimu kwa wapiga kura ni muhimu ili kujikomboa kisiasa.
 
Unapotoa shutuma nzito kama hizi ni vizuri uka substantiate mkuu. Fanya kama cdm wanavofanya wakisema X ni mwizi wanatoa facts. Mkuu huu soi muda wa kutudanganya tena. Sema ukweli kwa kutumia facts otherwise unajivunjia heshima.

Unataka fact zp ? nyie manzijua wote na ziliisha andikwa sana humu JF labda uniambie ww ni mgeni humu ndani ntakuelewa
 
Mtasema mengi sana leo, ndio mwakumbuka masuala ya ripoti sijui nn. Tatizo liko kwenye chama chenu ni udini, ukabila, ukanda, uongozi wa kiukoo nk . Kama ni ripoti hizo ndizo ziwe hadidu za rejea

Kwa suala la udini, ujue kuwa kisheria ile video ya Tamko la Viongozi wa Bakwata Igunga la kusema Waislamu wote wasiichague CDM ni ushahidi tosha wa kutengua matokeo. Na ni katika vitu vitakavyofanyiwa kazi.
 
naunga hoja!inashangaza sana huku tunapoishi au makazini hakuna mtu anayeitaka ccm.kwenye kura eti ccm inapata.pia huo mfumo wa kuhesabu kura kwa komputya ni wizi mtupu.kura 50 000 zinahesabiwa saa 24 hiyo sii kompyuta?
 
Kwani tume imezuia vijana kwenda kupiga kura?.
Lazma wananchi wafundishwa umuhimu wa kupiga kura.
 
Mtasema mengi sana leo, ndio mwakumbuka masuala ya ripoti sijui nn. Tatizo liko kwenye chama chenu ni udini, ukabila, ukanda, uongozi wa kiukoo nk . Kama ni ripoti hizo ndizo ziwe hadidu za rejea

Mkuu una mawazo kama ya mbwa mwenye kifafa .Unaweza ukawa mbwa maana huwezi na ujinga huu hapa jamvini ,upumbavu huu unaweza kuutoa kule redio uhuru , magazeti ya Uhuru , TV , Mlimani, na magazeti ya RA kwa michuzi na kwenye genge la CC Lumumba .CCM wenye akikli timamu hawawezin kutaja haya kwenye siasa a Chadema .Mwenyekiti wa CCM alisema Chadema ni chama cha Msimu baada ya CUF kununuliwa sasa inawaghalimu sana sana kupambana nao .At you age na una uwezo wa kutumia hii technology hutegemewi kuongea kama mzee wa Bakwata hata kama una chuki .Hivi walioipa Chadema kura Igunga ni wakristo pekee ? Mgombea wa Igunga alikuwa Mchaga ? NI mtoto wa nani kule Moshi .Acha kuongea kwa kutuudhi mbwa wewe.I neve use these kind of words lakini inatubudi muone kwamba tunachoka na uchochezi wa kipuuzi kisa madaraka .
 
Mkuu uko sahihi lazima tathmini/report iandikwe kupata way forward maana najua kuna chaguzi nyingi tu ahead kabla ya 2015
 
kama hatutachukua hatua sasa hivi na kukubali kubadilika tutabakia na ccm milele
 
Naunga mkono hoja. The lesson was to be learned in last elections particularly in Shinyanga and Ukonga kwa Mahanga.
 
chadema tafuteni njia nyingine,mkiendelea na hali kama hii hamtafika
 
tunaombwa tuwe tunapewa habari kuhusu maendeleo ya chadema ili tuweze kuwa pamoja
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom