mkuu hata watangazaji wa super sport walimuongelea na kuwa na mashaka nae, hasa pale wakati wa kupiga penalt madini kila penalt aliyokua anapigiwa kabla ya penalt kupigwa alikua anaonesha mkono wa kulia na kuunyosha kulia ili lumuonesha mpiga penalt mkenya kuwa nalala kulia funga kushoto,na hivyo ndio ilivyokua,je umeiona mechi mkuu,,nina uhakika ninachoongea ni taarifa zilizotoka ktk kambi ya timu ya zenj huko kampala.Mkuu, football ni mchezo wa makosa, tuhuma kama hizi siyo nzuri bila kuwa na ushahidi wa kutosha kwamba alikula mlungula kutoka Kenya.
mkuu hata watangazaji wa super sport walimuongelea na kuwa na mashaka nae, hasa pale wakati wa kupiga penalt madini kila penalt aliyokua anapigiwa kabla ya penalt kupigwa alikua anaonesha mkono wa kulia na kuunyosha kulia ili lumuonesha mpiga penalt mkenya kuwa nalala kulia funga kushoto,na hivyo ndio ilivyokua,je umeiona mechi mkuu,,nina uhakika ninachoongea ni taarifa zilizotoka ktk kambi ya timu ya zenj huko kampala.
naona kareti uwanjani..
Inamaana hata mshindi wa tatu tunaelekea kukosa....Tenga lazima uondoke...Kama nilivyoandika hapo awali, kipindi cha pili timu zinashambuliana kwa vipindi...naona mabadiliko waliyofanya Zanzibar Heroes yanawasaidia na sasa wasaishambulia sana Kilimanjaro Stars
Dk 85. Zanzibar wanasawazisha ni Abdalla Othman
Inamaana hata mshindi wa tatu tunaelekea kukosa....Tenga lazima uondoke...