CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Kilimanjaro Stars ni kama vile wachoka, wanashambuliwa sana na hawakai na mpira...kama hii mechi itaongezwa muda kuna uwezekano Zanzibar wakachukua nafasi ya tatu ya CECAFA Challenge Cup...


Mpira umeisha...tusubiri dakika za nyongeza
 
hizi dk za muda wanyongeza wabongo tutapigwa maana tumelizika sana..
 
Mwinyi Kazimoto......anakosa kipa wa Zanzibar Heroes anadaka
 
Masoud Nassoro....anakosaa Kaseja anaidaka

Bado 3 - 3
 
Back
Top Bottom