CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Shomari Kapombe.....anapata kipa alishaudaka ila umemzidi nguvu
 
Abdalla Othman....anapata

4 - 4

sasa ni muda wa moja moja piga nikupige
 
Zanzibar wanapata penati ya mwisho

6 - 5

Zanzibar wanakuwa washindi wa tatu
 
Wachezaji wa Zanzibar wanafurahia ushindi hapa Nambole...wanambeba kocha wao juu juu kwa furaha
 
Zanzibar imeshinda! Tanzania bara ni wazembe
Penalty 6-5
 
After all Zanzibar ni Nchi, na Kili is just a team.
Hongera Zenji!
 
Timu ya taifa ya Zanzibar wanaibuka washindi wa tatu wa mashindano ya CECAFA Challenge Cup.
Mpira umeisha kwa matokeo ya bao moja kwa moja (1 - 1) ndani ya dakika 90 za mchezo.
Ushindi wa Zanzibar umepatikana baada ya kufanikiwa kutumbukiza matuta 6 dhidi ya 5 ya Kilimanjaro Stars.
Kwa tathimini yangu, Zanzibar wamecheza kitimu zaidi na walikuwa na morali ya kushika nafasi hii ya tatu..
Hongera Zanzibar, hongera Tanzania...
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika.
 
Back
Top Bottom