CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Mkandamizo wa Bara tayari, mbonyezo wa Zenji saa ngapi wakuu?
 
Goli la kwanza limefungwa na Amri Kiemba dakika ya 34.....La pili limefungwa na John Bocco dakika ya 54

Magoli yote yamepikwa na Mwinyi Kazimoto

Mkuu hapo kwenye wekunde sema taratibu Manji asikusikie, laa sivo Mpira Pesa tutanyimwa raha
 
Wakuu wote shukrani sana nimejiona kama naangalia mpira kideoni kumbe ni updates za JF...pamoja sana
Balantanda, Zamaulid, WABHEJASANA, ndetichia, Ambitious, Liverpool FC, Crashwise, Makoye Matale, Chimuguru na wengineo
 
Usiseme kwa sauti, Bin Kleb ataanza kumuwinda, maana yeye anatamani amsajili kila mchezaji mzuri wa Simba!

Ngoja wasajili tu tutapata wengine, simba hafi kwa kuishiwa nyasi
 
Wakuu wote shukrani sana nimejiona kama naangalia mpira kideoni kumbe ni updates za JF...pamoja sana
Balantanda, Zamaulid, WABHEJASANA, ndetichia, Ambitious, Liverpool FC, Crashwise, Makoye Matale, Chimuguru na wengineo

Pamoja sana kaka jukwaa letu hili lazima tuhabarishane...Zanzibar Heroes wanatupa karata yao dhidi ya Burundi sasa hivi.
 
kwa kweli moja ya timu ambayo huwa siiaminii ni zenji!
 
hivi ni wachezaji wangapi wa zanzibar heroes ambao wako taifa stars? hivi Humud amestaafu kucheza?
 
Back
Top Bottom