CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Dakika ya 60

Rwanda 0-2 Tanzania

Safi sana Bocco.......Kazi nzuri sana Mwinyi Kazimoto, Kwangu mimi huyu ndiye MOTM leo
 
Hahaha mkuu naona bado huamini, Kili hachezi mpira mzuri hata kidogo...na narudia tena kukutabiria Robo fainali tunayaaga haya mashindano amini usiamini.
mkuu watu8 tunaweza kuifuta hii kauli au bado mapema mno kuamua hivyo!!!
 
Last edited by a moderator:
Dakika ya 60

Rwanda 0-2 Tanzania

Safi sana Bocco.......Kazi nzuri sana Mwinyi Kazimoto, Kwangu mimi huyu ndiye MOTM leo

heehee safi sana tukimuongezea na okwi mtakoma mwaka huu..

Back to topic tunachezaje mkuu wanajitahidi au wanazingua tu..
 
mkuu naomba analysis za kipindi cha kwanza na je chuji kawekwa maana ana nguvu sana... gemu ikoje maana siiangalii..

Mkuu tumebana sana pale kiungo mkuu midfielders tumetupia wa kutosha kwa hiyo Rwanda wanashindwa kutushambulia kwa sababu hawana natural winger wanategemea katikati wakati watu tumeweka visiki.
Muuaji wao D.Biroli leo analazimika kutafuta mipira mwenyewe.Haruna Niyonzima ame-panic hamna chochote anachofanya.
 
mkuu watu8 tunaweza kuifuta hii kauli au bado mapema mno kuamua hivyo!!!

hii sasa inabidi tuifute tena tuifunge jiwe la kusagia na tuitupe kwenye kilindi cha maji baharini...nilijawa na wasiwasi mnoooo!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom