CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Ratiba ya Robo fainali

3/12/2012
Tanganyika vs Rwanda
Burundi vs Zanzibar

4/12/2012
Kenya vs Malawi
Uganda vs Ethiopia
 
Ratiba ya Robo fainali

3/12/2012
Tanganyika vs Rwanda
Burundi vs Zanzibar

4/12/2012
Kenya vs Malawi
Uganda vs Ethiopia

Predictions
Semis:
Tanganyika v Zanzibar &
Malawi v Uganda

Finale:
Tanganyika v Uganda

Winner:
Tanganyika

So, predicted in Jesus' name.
 
subiri utaona kitakacho wakuta kina micho..

kiungo chetu kinapoteza sana mipira na hawawezi kukaa na mpira muda mrefu...
nategemea kuna uwezekano mkubwa wa kufungwa magoli tokea mipira ya juu kama kona au mipigo huru.
 
ukiacha ile mechi na Burundi, Kili Stars leo hii ni mechi yao ngumu sana...Kwanza huwa hatuna historia ya kuifunga au kuionea Rwanda, pili Rwanda wanacheza kwa kuelewana mno, tatu Formation tunayotumia inatoa mwanya kwa timu pinzani kukaa na mpira muda mrefu na ndio kitu Micho hupenda
 
Ratiba ya Robo fainali

3/12/2012
Tanganyika vs Rwanda
Burundi vs Zanzibar

4/12/2012
Kenya vs Malawi
Uganda vs Ethiopia

Mechi za leo ni Lugogo stadium. Mechi 1 ni saa 8 kamili mchana huu, 2pm au 1400hrs EAT. Mechi 2 ni saa 10 kamili, 4pm au 1600hrs EAT.

Kesho ni Namboole saa 1600 na 1900hrs mtawalia.

Source: CECAFA Website, 2012.
 
Mkuu Makoye Matale leo naona umeanza mapema kabisa safi sana Mwanawane,mzima lakini???
 
ukiacha ile mechi na Burundi, Kili Stars leo hii ni mechi yao ngumu sana...Kwanza huwa hatuna historia ya kuifunga au kuionea Rwanda, pili Rwanda wanacheza kwa kuelewana mno, tatu Formation tunayotumia inatoa mwanya kwa timu pinzani kukaa na mpira muda mrefu na ndio kitu Micho hupenda

Watu8,bealive in yourself kwanza,then second give our father God chance ya kusimamia hii kitu,hawa Wanyarwanda tunawatoa na tunatinga nusu fainali,kumbuka this is the game of chance rafiki yangu tukikata tamaa sisi itakuwaje kwa wachezaji ndani ya Pitch?!!
 
Huyu refa kutoka Sudan mbona naanza kumuona kama mbaya wetu,hebu angali hizo faulu anazotoa kwenye maeneo ya hatari.
 
Back
Top Bottom