CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Duh!...

Huyu Refa bana....

Dakika 4 za nyongeza, sijui zimetoka wapi hizi
 
Free kick kuelekea lango la Tanzania.......Goal kick
kiongozi hebu fanya summary kabla ya kuondoka kwenye chumba cha kutangazia!!!
matokeo ya mwisho
kumbushia wafungani
kama kuna kadi zilizotoka
na mengine muhimu ya ndani na nje ya uwanja!!!
 
Tumeshindaaaaaa!! Rwanda 0-2 Kilimanjaro Stars.Full time wale waliosema hatuwezi wako wapi tena??
 
Leo Kiemba kacheza vizuri sana, hongera stars hongera watanzania wote, kila la heri Zanzibar Heroes.
 
Game over sisi 2 wao 0.wakora,wabhejasana,ahsante,erokamano ahinya,bhiriyeke,wakusarura,kurimaniya,Thenki yu!!!!!!!!
 
Full Time

Rwanda 0-2 Tanzania

Dah...sasa ndugu zetu Zanzibar wanatakiwa wafanye juu chini wawakalishe wale Warundi ili walau tuwe na uhakika wa kuchezesha timu moja fainali...
 
Back
Top Bottom