Mkulima wa Kuku
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 1,270
- 536
Asante sana wakuu kutuhabarisha. Sisi huku kijijini hakuna cha umeme wala nini...tunasubiri mtueleze hizo chenga za Ngasa na Boko, vinginevyo...tuko gizani!!! Karibuni maembe huku!
Dakika ya 80
Rwanda 0-2 Tanzania
Inawezekana kuna tatizo na supika zako mkuu.....Mkuu nimeongeza volume ya laptop yangu lakini bado sikusikiii, what is up?
niambie kiongozi kaseja kavaa jezi rangi gani leo,nina uhakika kwa ndani hajavaa kitu hivyo usiniambie kuwa kwa ndani anayo nyekundu!!!
kweli kabisa mkuu kwa Mungu hata mimi mwenyewe huwa piliton na kumuachia yeye aamue!!!hata hawa tumewashika kwa nguvu ya huyo aletaye jua na majira ya mwaka!!!
Asante sana wakuu kutuhabarisha. Sisi huku kijijini hakuna cha umeme wala nini...tunasubiri mtueleze hizo chenga za Ngasa na Boko, vinginevyo...tuko gizani!!! Karibuni maembe huku!
Vilabu vyetu shida yake vinataka hela pitch kama ile kweli Simba au Yanga wanashindwa kuitengeneza na kuzungushia hata mabati ili mechi ambazo hazina mvuto wachezee huko kuliko kila mechi inachezwa taifa na kuwafaidisha wachina na TFF.Mkuu hiyo pitch ni nzuri sana kuliko hata ya Nelson Mandela (Namboole) na Nakivubo
wapi Mphamvu leo!!
Mkuu hiyo pitch ni nzuri sana kuliko hata ya Nelson Mandela (Namboole) na Nakivubo
oops! hapo sasa ndo siku inataka kuisha vibaya!!Stars wanafanya mabadiliko....
John Bocco anatoka, anaingia Shaaban Nditi
Rwanda wanapata goli...Bilori
Refa anakataa
Stars wanafanya mabadiliko....
John Bocco anatoka, anaingia Shaaban Nditi
Rwanda wanapata goli...Bilori
Refa anakataa
niambie kiongozi kaseja kavaa jezi rangi gani leo,nina uhakika kwa ndani hajavaa kitu hivyo usiniambie kuwa kwa ndani anayo nyekundu!!!
du hizi Lubisi zitamuumiza huyu kijana!!!Nasikia aliyatwika sana jana kule maeneo ya Masaka sasa asubuhi ameamka yuko hang'over.