CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Bala is always here.
Balantanda nimekubali wewe ndiye mchambuzi mahiri wa Soka humu JF.
 
Kwa kweli Mwadini baada ya hii mechi itabidi akajipoze na Panadol.
 
Haya sasa dakika 90 zimekwisha kinachofuata ni changamoto za mikwaju ya penati.Goodluck Zanzibar Heroes..
 
Selemani Ndikumana anakosa penalty hapa Burundi 0 Mcha anapata Zanzibar 1

 
Huyu mrundi kapiga penati nzuri sana, dalili zinaonyesha zanzibar nusu.
 
Back
Top Bottom