Kwahiyo Kili Stars watakutana na Rwanda?quarter final
Dak. 75, 7-
Ngassa.
mkuu mchanganyiko wa OKW BOBAN SUNZU leo kaseje alivaa jezi gani?
ha ha ha ha ha!!!haya mkuu nimekusoma!!!......ila ndani alivaa ''kibana msuli'' chekunde, kwa hiyo kikatibua gundu zote za njano colour
Jamani nani ana matokeo ya serengeti boys na congo??
1 Desemba 2012, kutoka viwanja vya Lugogogogo na Wankunkulu;
Kundi B
1400 EAT: Tanganyika vs Somalia (Lugogo Stadium)
1400 EAT: Sudan vs Burundi (Wankunkulu)
Kundi C
1600 EAT: Malawi vs Zanzibar (Lugogo)
1600 EAT: Eritrea vs Rwanda (Wankunkulu)
aiss!unataka kusema kuwa tuna timu nzuri au tulikutana na timu mbovu!
nakemea kwa jina la Yesu na kunena kwa lugha!!!!tutasonga kiongozi wangu!!Hahaha mkuu naona bado huamini, Kili hachezi mpira mzuri hata kidogo...na narudia tena kukutabiria Robo fainali tunayaaga haya mashindano amini usiamini.
Rwanda wazuri kuliko sisi.Labda itokee zali tu.kama tutakutana nao ujue kabisa tushaingia nusu..
nakemea kwa jina la Yesu na kunena kwa lugha!!!!tutasonga kiongozi wangu!!