CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

hii sasa inabidi tuifute tena tuifunge jiwe la kusagia na tuitupe kwenye kilindi cha maji baharini...nilijawa na wasiwasi mnoooo!!!
ngoja ngoja kidogo,mpira bwana hudunda dakika zote 90!!
 
heehee safi sana tukimuongezea na okwi mtakoma mwaka huu..

Back to topic tunachezaje mkuu wanajitahidi au wanazingua tu..
Mkuu unaharibu sasa......Mambo ya Simba, Yanga na Azam hayana nafasi hapa.....

Hapa ni Stars na Heroes basi....

Tunacheza vizuri sana, kiungo kimetulia, na beki pia....

What a shot by Bocco.......Jean Claude Ndoli anaokoa
 
Mkuu Masuke umeanza kuamini maenno yangu niliyosema kwamba,tunaweza tukawezeshwa na mwenyezi Mungu kam livyofanya kwa wazenji?!
mkuu unataka kusema majirani rafiki hawakuwa na uwezo wa kushinda ila walibebwa na sir God!!
 
Mkuu tumebana sana pale kiungo mkuu midfielders tumetupia wa kutosha kwa hiyo Rwanda wanashindwa kutushambulia kwa sababu hawana natural winger wanategemea katikati wakati watu tumeweka visiki.
Muuaji wao D.Biroli leo analazimika kutafuta mipira mwenyewe.Haruna Niyonzima ame-panic hamna chochote anachofanya.

Hiki ndio nilikua nakitamani, Kili kukaza kwenye kiungo na ndio maana basi sasa hivi tunaongea lugha ya ushindi...
 
ngoja ngoja kidogo,mpira bwana hudunda dakika zote 90!!

Ni kweli kania lakini sio kwa hii timu yao ya leo,wanaonekana hawana mipango kabisa siku ya leo,nadhani ile ahadi waliyoahidiwa na Kagame hajawapa!,tumeshawalalia hawana ujanja tena we ukitaka kujua hilo angli tu pale katikati namna ambavyo tumewabana,na kwa sababu wao wanapenda mara nyingi kupitishia mipira yao katikati,wamekamba kwa sababu kuna baba ubaya pale katikti meingia,na Niyonzima kile kitendo alichomfanyia Ngasa kimemuondoa mchezoni kabisa.
 
ngoja ngoja kidogo,mpira bwana hudunda dakika zote 90!!

mkuu mmoja hapo juu kasema tupo vyema sana katikati na kwa mantiki hiyo nahisi kwa uwezo wa Maulana tutashinda hii mechi Inshallah
 

Hahaaa! Huree! Kumbe Kili stars 2 Sasa tunaiona NUSU
 
Hiki ndio nilikua nakitamani, Kili kukaza kwenye kiungo na ndio maana basi sasa hivi tunaongea lugha ya ushindi...

wasipofanya hivyo itakuwa kama zenji wakawa wanashambuliwa sana ila kama tumefanikisha hili basi tusubiri kuongeza hili kina minyoomizima wale red tu..
 
Mkuu unaharibu sasa......Mambo ya Simba, Yanga na Azam hayana nafasi hapa.....

Hapa ni Stars na Heroes basi....

Tunacheza vizuri sana, kiungo kimetulia, na beki pia....

What a shot by Bocco.......Jean Claude Ndoli anaokoa
Mkuu ahsante kwa updates, wengine tunafuatilia hapa kwenye screen. Kazi nzuri!!!

 
Jamaa wametukosakosa......Jean Baptiste Mugiraneza anatukosakosa..

Analambwa yellow

Tunashambuliwa sasa....
 
Dah!!! Rwanda wanadai chenji hapa yaani wamecharuka kiana...Iligonga mtambaa wa panya lakini tumesalimika.
 
Back
Top Bottom