CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Dakika ya 35, Starz inaongoza kwa goli 1. Kona kuelekea Rwanda
 
Huku kwetu mvua inanyesha, nimeshindwa kufatilia kupitia runinga na karedio kangu (kapital fm uganda) ,mzee wa machimbo usitoke
 
Hicho dk ya 34!

Dah!!!!!!!!! mkuu huo ni uoga au nini,yani mpake tumepata bao ndio umejitokeza,haya mwanawane karibu humu ndani tuendelee kuwajuza na wengine ambao hawako kenye TV na wala hawako kwenye redio,si unaju humu Jamvini ni kila kitu.
 
Huku kwetu mvua inanyesha, nimeshindwa kufatilia kupitia runinga na karedio kangu (kapital fm uganda) ,mzee wa machimbo usitoke

Mkuu humu mi sitoki hata chembe,leo nimebanduka mapema san shimoni ili nije kuangalia hii kitu,huko nitarudi suiku itabidi nikeshe shimoni ili kufidia masaa ya mchana huu kwa sababu nimekcha tngu saa 5,tuko pamoja we angali tu kila kitu utapt humuhumu.
 
Ni kweli kabisa i gree with u,lakini namini kwamba kam ni yetu ni yetu tu mkuu,kama ilivyokuwa siku ile kwa wazenji.
inshaalah kiongozi wangu dua zako na ziwe kweli!!na mimi naisaidia beki kuwakamatia pum.b!inasaidia wasifungwe!!
 
Dah!!!!!!!!! mkuu huo ni uoga au nini,yani mpake tumepata bao ndio umejitokeza,haya mwanawane karibu humu ndani tuendelee kuwajuza na wengine ambao hawako kenye TV na wala hawako kwenye redio,si unaju humu Jamvini ni kila kitu.

Mkuu, nipo nafuatilia, tuko pamoja!
 
Nilisema huyu Refa hatutakii mema tangu dakika ya kwanza ya mchezo hebu angalia hicho kitendo alichofanya Niyonzima eti anapewa Yellow crd wakati hiyo ni Straight red Card?!!,haya ngoja tutoke mapumziko tuone.
 
Hapana leo Niyonzima anatokea kushoto lakini anakuwa nyuma ya mtu mwingine,lakini hata hivyo hajaleta madhara kwa sababu huku kulia kuna janaume moja linaitwa Kapombe!!!!

okay...basi leo watakua wamebadili nafasi yake, ila uchezaji wetu upo vipi hasa kiungo cha kati???
 
Half time mkuu sisi moja wao bila,lakini refa wa kwao.

pamoja mkuu yaani kila baada ya dakika 5 naangalia kama kuna jipya...Mungu yule tunayemuimba kwenye wimbo wetu wa Taifa atupe kushinda leo
 
Sawa mkuu tuko pamoja upepo wa matangazo unamaanisha unasikilizia kwenye redio au?!

Mkuu natazama kupitia HD LCD TV kupitia S9 East, hapa nilipo huwa kuna radi kali wakati wa mvua, si rahisi kuwasha TV kama unapenda ufike nayo AFCON hapo Januari. Kwa sasa hali ni shwari kabisa.
 
Back
Top Bottom