Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
wangepiga cha tatu basi ningeanza na kuagiza kilimanjaro baridi!!!kaka mbona hatujaongeza hapo ilitakiwa tatu wakate tamaa kabisa..
wangepiga cha tatu basi ningeanza na kuagiza kilimanjaro baridi!!!kaka mbona hatujaongeza hapo ilitakiwa tatu wakate tamaa kabisa..
mkuu unataka kusema majirani rafiki hawakuwa na uwezo wa kushinda ila walibebwa na sir God!!
Ni kweli kania lakini sio kwa hii timu yao ya leo,wanaonekana hawana mipango kabisa siku ya leo,nadhani ile ahadi waliyoahidiwa na Kagame hajawapa!,tumeshawalalia hawana ujanja tena we ukitaka kujua hilo angli tu pale katikati namna ambavyo tumewabana,na kwa sababu wao wanapenda mara nyingi kupitishia mipira yao katikati,wamekamba kwa sababu kuna baba ubaya pale katikti meingia,na Niyonzima kile kitendo alichomfanyia Ngasa kimemuondoa mchezoni kabisa.
tumewakosakosa.....j.c ndoli anadaka
D. Bilori kakosa.......Kaseja alishakubali
Free kick kuelekea lango la Stars.......
Jean Claude Iranzi anapiga........Anapaisha
kweli kabisa mkuu kwa Mungu hata mimi mwenyewe huwa piliton na kumuachia yeye aamue!!!hata hawa tumewashika kwa nguvu ya huyo aletaye jua na majira ya mwaka!!!Siyo kamba haakustahili kushinda isipokuwa hakuna chochote kinachoweza kufanyika chini ya jua bila Mungu kuweka mkono wake ama kukubali,na tambua kwamba If God say YES!no body can say NO!& If God say NO!,no Body can say YES!
Mkuu hiyo pitch ni nzuri sana kuliko hata ya Nelson Mandela (Namboole) na Nakivubodah uwanja km wa vumbi khaa! Uganda wamechemsha.
kanyaga twende bado dk 10 plus 2 za nyongeza!!Dakika ya 80
Rwanda 0-2 Tanzania
niambie kiongozi kaseja kavaa jezi rangi gani leo,nina uhakika kwa ndani hajavaa kitu hivyo usiniambie kuwa kwa ndani anayo nyekundu!!!Mnakisikia Kidedea?........wapi Mpira Pesa
Dakika ya 80
Rwanda 0-2 Tanzania