Kwa kweli Refa amechemka vibaya sana.....Haruna Niyonzima alipaswa kulambwa Straight Red card............
Kwa kweli Refa amechemka vibaya sana.....Haruna Niyonzima alipaswa kulambwa Straight Red card............
So far tunaongoza jahazi,ngoja tuone itakuwaje second half.
saidia beki kaka waminyie pum.b!huwa inasaidia wasifungwe!!hasa kwenye mipira ya kona!!
kweli!!!!!!Hee lapili wakuu limo.
kweli!!!!!!
Bocco, 0-2 dk.54
Bocco, 0-2 dk.54
Bocco, 0-2 dk.54
Mphamvu + Mnyakatari hebu tuwekeni wazi saa mpira itakapoanza!