CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Mkuu mimi sikutaki radhi hata kidogo wewe unaleta ushabiki wako humu wakati sisi tunajaribu kuangalia utaifa,we mwambie tu Bwana hata usinitishie nyau!
Haya bwana nimekusamehe lakini ungefuatilia vizuri post ungeona jinsi ilivyoanza na ile ilikuwa ni response kwa mkuu Balatanda baada ya kucompare timu ya mwaka jana na ya mwaka huu na alisema ya mwaka jana ilikuwa biased, kwa hiyo usirudie tena kuniita janga la Taifa sitakuripoti kwa invisible badala yake nitakupeleka kwa Ng'wanangwa wa ukoo wenu.
 
ni mkali sana sema anapenda sana takrima..
Azam mmechemka.....Hakuna cha takrima wala nini......

Dida, Aggrey na Nyoni wanakamua tu Challenge.......Timu haina kiwango bana, kiwango kimeshuka
 
Haya bwana nimekusamehe lakini ungefuatilia vizuri post ungeona jinsi ilivyoanza na ile ilikuwa ni response kwa mkuu Balatanda baada ya kucompare timu ya mwaka jana na ya mwaka huu na alisema ya mwaka jana ilikuwa biased, kwa hiyo usirudie tena kuniita janga la Taifa sitakuripoti kwa invisible badala yake nitakupeleka kwa Ng'wanangwa wa ukoo wenu.

Mkuu mbona we vitisho tu??!
 
[QUOTE=nngu007),huko hata ukiwa na simu ya nokia ya torch c fresh tu,unaona live,chezea obama n,au hujui kuset nikuelekeze?
 
Dakika ya 80

Tanzania 2-0 Sudan

Hii gemtumeshinda lakini kipindi cha pili vijana wamekosa Pumzi kabisa na hapa Poulsen anapaswa kufanya kazi ya ziada kwa sababu tukikutana na majamaa kama yale maganda yanayopiga swaga dakika 90 ni hatari sana!!!!!!!
 
Kiemba naona anakimbiakimbia tu uwanjani.......Bora angeingia Edward Christopher tu
 
Back
Top Bottom