Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Naona kiungo chetu baada ya kutoka Sure boy bado hakijaelewana, tunashambuliwa sana.....
Hope Kiemba atacope muda si mrefu
Hope Kiemba atacope muda si mrefu
Leo naona kuna utaifa sana, lakini msije mkaigeuka tena timu itakapotokea imefanya vibaya.
Tumekoswakoswa
Hata mwaka jana ilikuwa imebalance lakini ya kutoka kwenye club yenu wachezaji hawakuwa wazuri angalia hata walioitwa mwaka huu toka club yenu ni wale mliowasajiri mwaka huu isipokuwa Chuji ambaye naye bila shaka amezaliwa upya.Hii timu imebalance mkuu......Sio kama ya mwaka jana wazee wa BEST LOSER
Dakika ya 50
Tanzania 2-0 Sudan
Hata mwaka jana ilikuwa imebalance lakini ya kutoka kwenye club yenu wachezaji hawakuwa wazuri angalia hata walioitwa mwaka huu toka club yenu ni wale mliowasajiri mwaka huu isipokuwa Chuji ambaye naye bila shaka amezaliwa upya.
Hata mwaka jana ilikuwa imebalance lakini ya kutoka kwenye club yenu wachezaji hawakuwa wazuri angalia hata walioitwa mwaka huu toka club yenu ni wale mliowasajiri mwaka huu isipokuwa Chuji ambaye naye bila shaka amezaliwa upya.
Samahani Mkuu sijakuelewa unamaanisha nini unaposema kwamba ninyi wa nje!lakini kama umejiunga na Super Sport Phone unaangalia unono sana kwenye Chanel 9 East.
Na hata hao waliodaiwa wazuri walioitwa walikuwa wanatuaibisha tu.........Wazee wa BEST LOSERHata mwaka jana ilikuwa imebalance lakini ya kutoka kwenye club yenu wachezaji hawakuwa wazuri angalia hata walioitwa mwaka huu toka club yenu ni wale mliowasajiri mwaka huu isipokuwa Chuji ambaye naye bila shaka amezaliwa upya.
Mkuu tuna raha zetu humu ndani halafu unakuja na mipicha yako kutuchefua??!!!acha bangi zako bwana pelekena na hao wake zenu hukohuko,huyu jamaa kashaniharibia siku!!!!!!!!
Tatizo ni kiungo....Kimepwaya baada ya Salum Abubakar kutoka.....Hawa jamaa naona wameamka, inabidi Kapombe na Yondani wafanye kazi ya ziada kumlinda Kaseja lakini kama michomo itazidi sana jamaa watapata goli.
peleka unazi wako uko
Super Sport PHONE? Mimi naishi Marekani na Nina IPHONE ninaweza kujiunga???