nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,860
- 5,803
mechi inaoneshwa TBC1 na S9 sasa sijui kama channel hizo zinapatikana online...
Asante Nashukuru nitakaa hapahapa kupata latest scores
mechi inaoneshwa TBC1 na S9 sasa sijui kama channel hizo zinapatikana online...
Tunaweza kuona GAME Online???
mechi inaoneshwa TBC1 na S9 sasa sijui kama channel hizo zinapatikana online...
Ndio maana nimesema leo wangelikuwepo Ulimwengu na Samata mpaka sasa tungelikuwa na mabao manne!
kocha amtoe Simon Msuva aingie Chriss Edward na Sure boy aingie Kiemba
Naona Wanaonyesha TBC1 lakini Wanataka pesa za BONGO; Wa NJE JEE???
![]()
Done....kocha amtoe Simon Msuva aingie Chriss Edward na Sure boy aingie Kiemba
peleka unazi wako uko
Asante Nashukuru nitakaa hapahapa kupata latest scores
Wewe jamaa una undugu na kocha nini?kocha amtoe Simon Msuva aingie Chriss Edward na Sure boy aingie Kiemba
Hii timu imebalance mkuu......Sio kama ya mwaka jana wazee wa BEST LOSERLeo naona kuna utaifa sana, lakini msije mkaigeuka tena timu itakapotokea imefanya vibaya.
Done....
Sure boy katoka, kaingia Kiemba...
Sure boy kapwaya sana leo
Kama umejiunga mkuu na Super Sport Phone/Laptop unaweza.
Hii timu imebalance mkuu......Sio kama ya mwaka jana wazee wa BEST LOSER
Baadae SS9 wataonesha recordedSisi Wa Nje KUNA link ya KUONA GAME???
mkuu kwangu mimi hayo mashikolo mageni...