WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
bocco 2 sudan 0
Basi ni hivyo hivyo lakini mavi yanagonga chupi mkuu hali sio nzuri saana,bado dakika 3 lakini ni hatari tupu tunashambuliwa kama Al-shaabab!!!!!!!!!
bocco 2 sudan 0
Kiemba naona anakimbiakimbia tu uwanjani.......Bora angeingia Edward Christopher tu
Mi nilikwambia sub ya Kiemba haikuwa na maana yoyote nafasi ya chuji hapa imeonekana ipo sijajua ni kwa nini kocha hajaliona hili,sijui hayo mashambulizi yamemchanganya????!!!
Bocco anafanya uchoyo wa mwaka dah...
nngu007) said:Oh yeah nieleze nitafurahi
Lakini alikuwa kwenye nafasi nzuri pia ni bahati mbaya tu.
Mpira umeishaaa
Kilimanjaro Stars 2
Sudan Khartoum 0
Ahsanteni wakuu kwa kuwa pamoja kwa dakika 90 za mchezo huu tutakutana keshokutwa tena humu ndani Mphamvu kazi nzuri kwa kutuunganisha usisahau mechi inayofuata,ila kama utakuwa mgonjwa utuambie mapema.
mkuu upande wake wa kulia kulikua na raia wawili ambao hawakua na opponents, kashafunga goal mbili hakuwa na sababu ya kuwa mchoyo.
Full Time
Tanzania 2-0 Sudan
Hongereni sana watanzania
kwi kwi kwi,na kweli,asije kutuletea mingada yake bure
Hongereni Watanganyika. Bala, Watu8, Babu V, etc. shukrani kwa kutuhabarisha! Sasa weekend inaishia kwa akina Vettel & Alonso; and City & Chelsea.