Masuke wewe kweli ni janga la Taifa!!!!!
Mkuu mimi ni janga la Taifa kuliko rushwa, nitake radhi mkuu la sivyo na kuripoti kwa invisible for nama calling.
Masuke wewe kweli ni janga la Taifa!!!!!
Masuke wewe kweli ni janga la Taifa!!!!!
Taratibu tunazidiwa
Dakika ya 60
Tanzania 2-0 Sudan
Inabidi Chris Edward aingie kuwakimiza hawa wasudani....Simon Msuva apumzike
Done....
Sure boy katoka, kaingia Kiemba...
Sure boy kapwaya sana leo
Tatizo ni kiungo....Kimepwaya baada ya Salum Abubakar kutoka.....
Mkuu mimi ni janga la Taifa kuliko rushwa, nitake radhi mkuu la sivyo na kuripoti kwa invisible for name calling.
Erasto Nyoni yuko safi sana leo
Maisha magumu sio kwetu tu hata kwao maisha ni magumu hawana hela ya kuingia uwanjani kila siku.yaan Waganda hawapo kabisa uwanjani...sijui population ya Kampala ndogo au ndio sio wapenzi wa kabumbu..
Kati ya hizo sub mbili mmoja alitakiwa awe Chuji jamaa huwa anajitahidi kupandisha sana timu tofauti na Nditi na Kiemba ambao ni wazuri wakati timu haina mpira lakini Chuji ni mzuri sana wakati timu ina mpira na wakati pia haina anajitahidi kukaba.
ngapi ngapi.. maana nipo darajani..