Wewe mara nyingi huwa unaanza hivi hivi, ukiona timu yako inaelemewa unapotea halafu ikishinda unarudi, thibitisha kwamba leo hutapotea utakuwepo mwanzo mwisho bila kujali upepo wa hii mechi unaelekea wapi.Ahaa PrN kumbe upo enh....very nice,umeniona leo nawakilisha from the begining....ni dalili za uhakika kwamba baada ya dk 90+5/120 au maguu kumi na mawili ya mtu mzima ni kicheko tu