CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

washabiki na wapenzi wa Simba Sports Club wamesusia kufturu Chapati zinazotengenezwa na kiwanda cha Azam.
Hii inatokana na kipigo cha Gombania Daku walichokipata hivi karibuni
Mtaongea sana lakini hiyo imeshakuwa historia kama tulivyo wanyuka 5 - 0 au mlivyotandikwa na Azam FC mpaka mkapiga refa au mmesahau 3 - 1..Nashangaa mnawashwa na nini Simba kufungwa na Azam ilihali nanyi mnadeni kwa azam ya idadi hiyo hiyo mbaya zaidi mnadeni la goli 5 kwa mnyama
 
Ngoja nikuweke sawa kihistoria kijana.
Man U alilimwa 1-6 na Man City, lakini matokeo hayo yalivuma kwenye magazeti mwezi mmoja tu, bila ya kuondoa historical superiority ya Man U (ingawa naichukia sana) over Man City.

Hiyo scoreline ya 5-0 mliyoibebea bango huu sasa karibu mwezi wa 3 umepita pia haiindolei Yanga Afrika historical superiority over Simba.
And you know what the icing on the cake is now? Yanga Afrika iko on the verge of back-to-back EA regional silverware!

Hongereni machampioni wa kombe la kuku/urafiki!!
 
mi simlaumu kocha,,ninacho jiuliza mimi kwanini waliongeza dakika 30 wakati hii si fainali,na kama wangepiga penati yanga angetolewa,,mpira wa bongo bwana hakuna kitu,,kwanzia rais,mpaka waziri upepo tuuuu kichwani

Una hakika kwamba Yanga wangekosa wakati na Mafunzo walipata zote ikiwemo Panenka style? Acha uzushi wewe.
 
Juzi na Mafunzo zilipigwa penalti mkasema ushindi wa kubahatisha leo tena... Hakuna jambo jema kwa Yanga? Au ndio unajifunzia uchambuzi kwenye mashindano ya kagame? Kwa hiyo dakika 30 ziliongezwa kuibeba Yanga. Na kadi ya Taita ingetoka upande wa APR sijui mngesemaje?

I salute your comments mate.
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Hivi umeelewa huyu kocha alimaanisha nini kwa kusema " This is Africa"? Ni madharau,kumaanisha kuwa Afrika ni vilaza.

Hata ulaya ipo,kwa aliyeangalia mpira wa jana Olympic 2012 kati ya Senegal na Great Britain anaweza kuthibitisha,yule refa alikuwa anatoa kadi kama njugu mawe kwa wachezaji wa Senegali,hata kwa kosa dogo tu, huu si uonevu.
 
Hii ndo point nilitaka watu waelewe,kauli ya huyu refa ni ya kibaguzi na dharau kubwa. Kama anaona Afrika hatuna akili za kutosha, kwa nini anafanya kazi Afrika?
 
cheki migazeti ya yanga sasa
614771_451798478186362_1613395969_o.jpg
 
Nikikaa bila ku comment sitatenda haki hapa..Kwa wale msioelewa, ni referee peke yake ndiye anayeweza kusimamisha mpira kwa filimbi yake kwa chochote kilichotokea ambacho anaona ni kinyume na sheria za soka..Kama mchezaji ameumia,hata akivunjika kichwa na mpira ukaendelea kama referee hajaona madhambi,mpira utaendelea na hata goli laweza kufungwa. Wachezaji wa APR wali concentrate na Bahanuz wakitaka kugombana nae,huku wakielewa wazi referee hakupuliza filimbi kusimamisha mchezo,Yanga wakatumia nafasi hiyo kurusha mpira haraka APR wakashitukia ujinga wao,jaribu kufukuzia wapi!!Kiiza kawatungua tatizo liko wapi?Na kuhusu kupoteza muda hiyo ni tactic inayojulikana dunia nzima hauwezi kulalamika kufungwa kwa mwenzako kupoteza muda.Kwani wangekuwa wao APR ndio wamepata bao dakika zile wasingepoteza muda?? Kama hamjui sheria za soka si mnyamaze? au bado mna hang over za ramba ramba 3 mlizoleweshwa? Subirini kesho tuwaoneshe jinsi ya kuwalamba hao Azam! Aramba, Aramba tena hao Azam ham ham ham!!
 
Kocha analalamika mchezaji anaumia dk 6 lakini zinaongezwa dk 3 tu! Hii inapatikana afrika tu, ndicho alicho maanisha!
 
Asante kwa hili mjomba.
 
Kocha analalamika mchezaji anaumia dk 6 lakini zinaongezwa dk 3 tu! Hii inapatikana afrika tu, ndicho alicho maanisha!

Wewe haujui kama kwa kawaida huwa hakuna dakika za nyongeza katika nyongeza? hata hizo 3 ametoa tu basi, fahamu dakika 30 huongezwa ili kujaribu kulazimisha apatikane mshindi ndio maana hata sheria ya Golden Goal iliiingizwa.Iliingizwa kwa sababu watu walihoji kama lengo ni kumpata mshindi kwa nini timu moja ikifunga tu mpira usiishe? walipoanza kuitumia wakaona ni sheria ya kikatili zaidi kwa timu inayofungwa wakaona haifai..Lakini sababu hasa ya kuongeza dakika 30 ni kulazimisha mshindi kupatikana na kamwe usitarajie nyongeza katika nyongeza,ikitokea you are very luck!!
 
Hongereni vijana kwa kuonyesha uwezo binafsi japokuwa bado mna kibarua kingine na kigumu cha wadogo zenu Azam, msibweteke uzi ni ule ule. Kwa jinsi nilivyolitazama gemu dhidi ya APR sina shaka kombe ni lenu..Vile vile nawapa big up sana Azam kwa kutinga fainali..Kwa kandanda safi linalochezwa na Yanga sinabudi kulifaninisha na lile linalochezwa na Barcelona ya kule Spain na kwa mantiki hiyo Kazi ipo Jumamosi!:israel:Kila la heri Yanga tupeni raha tena!
 
labda musonye amuamuru refarii afanye kama alivyofanya kwenye mechi ya jana,ila kwa kiwango,prakakatumbaaaaaaaaa!!
 
mi simlaumu kocha,,ninacho jiuliza mimi kwanini waliongeza dakika 30 wakati hii si fainali,na kama wangepiga penati yanga angetolewa,,mpira wa bongo bwana hakuna kitu,,kwanzia rais,mpaka waziri upepo tuuuu kichwani

Unatumia kigezo gani cha kuitoa Yanga kwa njia ya penati endapo mpira ungeamuriwa kwa penati? acha ushabiki wa hewa, umesahau yanga imeitoa mafunzo kwa njia ya penati zote 5. Ulikuwa wapi fuatilia michezo kwa kina usikurupuke..na dakika 30 uongezwa hatua ya nusu fainali na fainali upo?
 
Huyo REFA chizi na mzungu poli mara ngapi marefa wa ULAYA wanafanya madudu tena ya wazi wazi mbona hatusemi THAT is EUROPE bado anakusumba alizofundishwa na BABU zake kuwa AFRICA ni bara la giza tena REFA wa jana alikuwa anawakandamiza sana YANGA yeye atafute kingine cha kujitetea kabra ya KAGAME ajamrudisha kwao hatuache na AFRICA YETU.
 
mi simlaumu kocha,,ninacho jiuliza mimi kwanini waliongeza dakika 30 wakati hii si fainali,na kama wangepiga penati yanga angetolewa,,mpira wa bongo bwana hakuna kitu,,kwanzia rais,mpaka waziri upepo tuuuu kichwani
Na wewe inaonekana Yanga kushinda imekuuma sana roho hata ukashindwa hata kuona jana refarii alipoiumiza Yanga kwa kadi nyingi mpaka na nyekundu pia hata marefarii wa nje huko huko Ulaya anakotoka kocha wako wa APR wanafanya the same.mfano mechi ya Arsenal na Chelsea,Thiery Henry alipiga freekick kuelekea Chelsea na akafunga wakati hata refa yuko pembeni na Chelsea hawajajipang,pia ManU na Lille goli la Giggs,ManU na Totenham goli la Nani.kilichowaponza Timu yako ya APR ni lack of concentration badala ya kuwamaki wachezaji wetu wakajikita kwa Bahanuzi pekee
 
Kaka mbona hilo gazeti lenu,huoni habari ya Sunzu kutakiwa As Vita pale juu?,Sunzu huyu tunayemuona hana hata kiwango cha kuchezea Mgambo Shooting leo hii atakiwe DR Congo?
 
Back
Top Bottom