Yanga mna maneno sana!
Na hamia AZAM kwa hizi siku chache.....
Full Time
APR 0-1 Yanga
Wenye wivu wajinyonge.........
Yanga: Daima mbele,nyuma mwiko
Sawa na semi final yako....Pamoja na APR kupata mashabiki kutoka Simba na Yanga kucheza 10 uwanjani.......Yanga waenda Semi Final kwa kishindo.....
Simba mtaishia kupakatwa tu...........
![]()
Mpaka rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Full Time
APR 0-1 Yanga
Wenye wivu wajinyonge.........
Yanga: Daima mbele,nyuma mwiko
Utahamahama sana
Mjipange sana......Tena sana......Sawa na semi final yako....
tutakutana ligi kuu ngoja tujipange....
hongera sana bala kwa niaba ya wanayanga wote.
Sasa wale washabiki wa simba wa makaratasi najua mmehamia simba b.
Jiandaeni kwa maumivu mengine.
twende kwenye mjadala wa zitto kule naona wife amekukamia kweli kule....
Kwa hiyo...Bona hukuonekana mapema kumbe mshabiki mbuzi
Hii Yanga ya mwaka huu kwanini TFF wasiipe nafasi ya Simba kwenye kuiwakilisha nchi kwenye mashindano ya kimataifa...
Ksbb wameonyesha kuimudu vema...
Simba watatuongezea aibu tu
ccm ccm ccm ccm.....
Yanga mna maneno sana!
aah, kumbe nawe ni GT!?....lolUlikuwa unamaanisha Mbona?