rmashauri
JF-Expert Member
- Jan 29, 2009
- 3,011
- 462
Acha unazi Nkwingwa....Hivi haujaona jinsi Kipa Mustafa wa Yanga alivyovamiwa na wachezaji wawili wa APR kwa lengo la kumnyang'anya mpira alioudaka?
Sawa bageshi nimeona.
Acha unazi Nkwingwa....Hivi haujaona jinsi Kipa Mustafa wa Yanga alivyovamiwa na wachezaji wawili wa APR kwa lengo la kumnyang'anya mpira alioudaka?
Mmeshapita homeboy. Wish you all the best. Tunafurahi angalau kombe limebaki TZ
Full Time
APR 0-1 Yanga
Wenye wivu wajinyonge.........
Yanga: Daima mbele,nyuma mwiko
swala sio kombe kubaki nyumbani, liende jangwani basi.
Yanga yanga oye oyeeee
yanga OYYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Naombeni matokeo ya AZAM jamani na wafungaji ikiwezekana!