CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Mkuu Crashwise pole nyie uwezo wenu uliishia kwa azam
 
Last edited by a moderator:
simba+kapakatwa.jpg

Kwani aliepakatwa ni simba au APR?
 
Mkuu Batalanda pale kati akirudi yule dogo frank domayo naamini kiungo kitakuwa kimekamilika
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Batalanda pale kati akirudi yule dogo frank domayo naamini kiungo kitakuwa kimekamilika
 
Last edited by a moderator:
Bila kumsahau Athuman Idd Athuman 'Chuji'.....

Huyu jamaa karudi kwenye fomu sana mkuu....

Kuna mtu alisema Chuji alijitazama kwenye kioo akagundua adui wake ni nani,hivyo akamkwepa na kubadilika kitabia......Jamaa yuko vizuri sana...

Huwezi kuamini vitu anavyofanya Chuji siku hizi uwanjani,angalia ile rabsha iliyotokea wakati Taita anapigwa yellow ya 2 iliyofuatiwa na red,Chuji alikuwa anaangalia kwa busara ile mbaya....hakika huyu siye yule Chuji wa kipindi kile,the guy is in real form
 
Simba wako kwenye Mkakati wa kuisambaratisha timu... na Kumuondoa Mh. Mbunge kama Mwenyekiti Uchaguzi August 8
 
Ngoja nikasuuze koo kwanza nitarudi hapa baadaye,Yanga Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
😛ray2:ee mungu naomba utujalie azam na sisi tuinue makwapa kwani yanga wakichukua watapiga kelele jiji zima... Amiiiiin 😛ray2:
 
Halafu Yanga ni chaka la mafisadi
Mtayasema yote mwaka huu............Sisi tunaenda mbeeeeele........Subiri tarehe 5 August kwenye mkutano wenu mnavyochapana bakora.....Hivi ule uwanja wenu na Simba TV vimeishia wapi?........Rage ni noumer kwa utapeli.......

Simba ni chaka la matapeli...........Wakiongozwa na mwenyekiti Rage....
 
Chuji amekuwa sana kiakili na kimchezo siku hizi za karibuni, bila shaka atakuwa ameachana na majaniiiiiii!!!

Bila kumsahau Athuman Idd Athuman 'Chuji'.....

Huyu jamaa karudi kwenye fomu sana mkuu....

Kuna mtu alisema Chuji alijitazama kwenye kioo akagundua adui wake ni nani,hivyo akamkwepa na kubadilika kitabia......Jamaa yuko vizuri sana...

Huwezi kuamini vitu anavyofanya Chuji siku hizi uwanjani,angalia ile rabsha iliyotokea wakati Taita anapigwa yellow ya 2 iliyofuatiwa na red,Chuji alikuwa anaangalia kwa busara ile mbaya....hakika huyu siye yule Chuji wa kipindi kile,the guy is in real form
 
😛ray2:ee mungu naomba utujalie azam na sisi tuinue makwapa kwani yanga wakichukua watapiga kelele jiji zima... Amiiiiin 😛ray2:
Teh teh!.................Mtashinda tu maana mmeshasema mnashinda(mdomoni) tena kwa support ya Crashwise na Skype...
 
Last edited by a moderator:
Bila kumsahau Athuman Idd Athuman 'Chuji'.....

Huyu jamaa karudi kwenye fomu sana mkuu....

Kuna mtu alisema Chuji alijitazama kwenye kioo akagundua adui wake ni nani,hivyo akamkwepa na kubadilika kitabia......Jamaa yuko vizuri sana...

Athuman Idd 'Chuji' ni mfano mzuri wa kuigwa kwa wachezaji wengine wanaotaka kuendeleza vipaji vyao: FOR SURE BEHAVIOUR CHANGE IS POSSIBLE
 
Mtayasema yote mwaka huu............Sisi tunaenda mbeeeeele........Subiri tarehe 5 August kwenye mkutano wenu mnavyochapana bakora.....Hivi ule uwanja wenu na Simba TV vimeishia wapi?........Rage ni noumer kwa utapeli.......

Simba ni chaka la matapeli...........Wakiongozwa na mwenyekiti Rage....

Hahahahahahahahahahahahahahaha, umesomeka Nkwingwa, ngoja tusubiri tuone
 
Back
Top Bottom